Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu kadhaa wanaendelea kufa lindi kutkana na balaa nja huku wakiongea kwa majonzi na wakionyeshwa wanyama wao waliokufa wametapakaa chini kutokana na kutopata vyakula wamesema watanzania wengi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu dahari inaaminika mungu alimuumba binadamu kwa mpango maalumu na kumpa uwezo wakutawala na kumiliki viumbe wengine vilivyopo duniani. Kwamba kutokana na uumbwaji wake yeye ni mbora kullko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jiji wamesema kwamba kila mfanyabiashara atapata kizimba cha meter square. Hebu mnaojua undani mtufafanulie equation hii. Je ukubwa wa jengo I mean mita mraba za kila floor ni ngapi, halafu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnapopitisha BAJETI ya serikali, bunge linakaa kama kamati ya matumizi ili kupitia kipengele kwa kipengele makadirio ya bajeti kwa wizara husika. Pamoja na kuvipitia vipengele kila mwaka mnapata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Thursday, December 24, 2009 4:39 AM Baba mmoja nchini Australia ambaye alikuwa akitilia shaka urijali wa mtoto wake mwenye umri wa miaka 14 ameingia matatani baada ya kumlazimisha mtoto wake...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Salaam kwenu wote, Naomba msaada wenu. Kwa muda sasa sijapata fursa ya kumsikia na kumuona Rais wetu akihutubia taifa kupitia utaratibu wake wa kuongea na Watanzania kila mwezi kwa njia ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A NATIONAL Road Safety Agency that would among other things issue driving licences instead of the police force is in its final stages of formation. Already an interim road safety agency has been...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mm nipo zanzibar jana siku nzima hakukuwa na umeme kisiwa chote, ukarudi saa kumi na moja for two hours then ukakatika hadi this time haujarudi, kama kuna mwenye data zaidi. HII NI HATARI...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KIJANA mmoja jina halikuweza kupatikana mara moja, mwenye umri kati ya 28 na30 amejeruhiwa na konda wa daladala baada ya kugoma kulipa shilingi 50 kwenye daladala hali iliyomfanya konda wa gari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mmeona gazeti la "]LEO TENA [/B]la leo!!!? Ivi ni gazeti linalotia aibu au ile picha ndo inayotia aibu!!? Kweli zile ni picha za kuweka front page?? Ivi watoto wetu watakuwa na maadili gani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SIKU chache tu kabla ya kuanza kwa mwaka wa mchakato wa kuelekea kilele cha Uchaguzi Mkuu, baadhi ya wabunge waliopoteza matumaini ya kurejea bungeni wameanza kusitisha harakati hizo huku baadhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana wa Kitanzania Salum Kombo aliyeuliwa kwa kuchomwa na kisu na rafiki yake Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akiishi na kusoma nchini Uingereza ameuliwa kwa kuchomwa kisu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=THcbQyFtCqg Nakumbuka wakati ule wa edi hali ilikuwa ngumu kwa waisilamu waliokuwa wanarudi nyumbani kula sikuku na familia zao ,naimani na wezetu wali okuwapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Bw. Henry Chipeo inasemekana ametoroka nchini na hajulikani alipo. Habari zinasema kuwa Bw. Chipeo huenda ameamua kutoroka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nashangaa sana kuna thread nyingi zinawalaumu Wahaya.Wamekuwa kama Jews wa Tanzania,kila kitu kibaya ni wao,ufisadi,ukabila,ngono,majidai etc etc.Facts ni hizi hapa: Ukabila:Sidhani wanatofautiana...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nahisi hii thread nayo, hapa si pahala pake lakini nahitaji immediate response kwa kile ninachoamini kwamba forum hii (hoja mchanganyiko) ndio inayotembelewa zaidi na wanajamii-am sorry in...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahisi hii thread, hapa si pahala pake lakini nahitaji immediate response kwa kile ninachoamini kwamba forum hii (hoja mchanganyiko) ndio inayotembelewa zaidi na wanajamii-am sorry in advance...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni zamu ya Kikwete Baada ya Lowassa, Rostam... na Irene Mark Tanzania Daima~Sauti ya Watu BAADA ya wanamtandao wawili maarufu, Edward Lowassa na swahiba wake kisiasa, Rostam Aziz...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC ninayoiangalia saa hizi: mamia na ma-elfu ya abiria waendao mikoa ya manyara na singida wamekwama njiani baada ya daraja mojawapo linalotumika na mabasi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A 6-year-old boy somehow climbed inside a homemade, helium-powered aircraft in Ft. Collins, Colorado -- and now the craft is careening out of control with the boy stuck inside. The Larimer...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom