Mkurugenzi TAZARA atoroka!

Mkurugenzi TAZARA atoroka!

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
3,651
Reaction score
416
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Bw. Henry Chipeo inasemekana ametoroka nchini na hajulikani alipo.

Habari zinasema kuwa Bw. Chipeo huenda ameamua kutoroka kutokana na mfululizo wa matukio ya kutia kinyaa na aibu TAZARA, ambapo katika siku za hivi karibuni imeripotiwa baadhi ya wafanyakazi kuuza mali za mamlaka hiyo......Ndio mwaka wa shetani nini???

Kama TRL vile...
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) Bw. Henry Chipeo inasemekana ametoroka nchini na hajulikani alipo. Habari zinasema kuwa Bw. Chipeo huenda ameamua kutoroka kutokana na mfululizo wa matukio ya kutia kinyaa na aibu Tazara, ambapo katika siku za hivi karibuni imelipotiwa baadhi ya wafanyakazi kuuza mali za mamlaka hiyo......Ndio mwaka wa shetani nini??? Kama TRL

Source?
Naalikuwa ni mtu wa nchi gani?
 
RAHA YA MILELE UMPE (BWANA CHIPELO) ee bwana,NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE.....!

lol!mzazi wangu aliwahi kuwa kwenye hilo shirika enzi zake
 
RAHA YA MILELE UMPE (BWANA CHIPELO) ee bwana,NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE.....!

lol!mzazi wangu aliwahi kuwa kwenye hilo shirika enzi zake
Geoff, hii inanikumbusha ule msemo wa ngoma ivumayo sana haikawii kupasuka. My brother alishapiga mzigo Tazara na kiukweli walikuwa matawi ya juu kinyama wakati wao!!!
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Bw. Henry Chipeo inasemekana ametoroka nchini na hajulikani alipo.

Habari zinasema kuwa Bw. Chipeo huenda ameamua kutoroka kutokana na mfululizo wa matukio ya kutia kinyaa na aibu TAZARA, ambapo katika siku za hivi karibuni imeripotiwa baadhi ya wafanyakazi kuuza mali za mamlaka hiyo......Ndio mwaka wa shetani nini???

Kama TRL vile...
Laligeni hujatuambia source ya habari hii ili tuchangie kwa uhuru.
Hata hivyo mkurugenzi ni mtu mkubwa sana ki muundo wa TAZARA swali langu ni je, ametoroka kwa kuwa anahusika na uuzaji huo au? Kwa kuwa taarifa zilizopo mbeya zinasema kwamba hapo awali ghala hilo lilikodishwa na kampuni ya sukari kwa ajili ya kuhifadhia sukari yao, na matumizi yake ya awali ilikuwa kuhifadhia vipuli vikubwa kwa ajili ya uendeshaji wa karakana yao iliyopo maeneo ya ikuti/iyunga.
 
Back
Top Bottom