Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,034
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC ninayoiangalia saa hizi:
mamia na ma-elfu ya abiria waendao mikoa ya manyara na singida wamekwama njiani baada ya daraja mojawapo linalotumika na mabasi yaendayo mikoa tajwa hapo juu kusombwa na maji ya mvua.
taarifa zaidi zinasema kwamba daraja hilo limejengwa upya takribani mwezi mmoja uliopita na mkandarasi WA KICHINA!habari zaidi ni kwamba hadi sasa hakuna kinachoendelea,zaidi ya TANROADS kuahidi kuleta kijiko ili kisaidie mchakato wa matengenezo
CHANGAMOTO NILIYOJIFUNZA:haya ni matokeo ya rushwa zilizokithiri kwenye sekta ya ujenzi.ndugu yangu GT anaweza kuwapa connections za rushwa na quality mbaya ya ujenzi wa miundo mbinu na majengo