Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za siku nyingi ndugu zangu maana ni siku nyingui sana tangu nimeshiriki katika uwanja huu ambao matu na ama wasomi kwa ujmla huwa tunasoma au ktoa hoja zetu.Binafsi nilishindwa kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha Ndulungu Kata ya Kaselya Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Sadiki Selemani (40) ameikimbia familia yake baada ya watoto 2 kati ya 4 waliozaliwa na mke wake Mwanaharusi Juma (32)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Waswahili huwa tunatema mate kwenye mabasi, tunapenga na kukojoa hovyo barabarani, tukiwa tunahama tunang'oa hadi silingi bodi licha ya kuwa tumelikuta, na pia huwa tunaharibu vitasa vya milango...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
This is the kind of no bullsh!t, zero tolerance attitude i would like to see from Kikwete. Actually from all our ministers. Threats won`t scare me, says minister Magufuli Livestock...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni kwa nini watu wanaoziacha dini zao za awali na kuingia kwenye dini mpya wanakuwa ni wakereketwa sana kuliko wenye dini haswa. Mfano mtu akitoka kwenye uislamu akiingia ukristo anakuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Indian President Pratibha Patil will tomorrow confer an award on Regency Medical Centre chairman Dr Rajni Kanabar at the eighth Indian Diaspora Conference, which kicked off in the Indian capital...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Older Women An older lady gets pulled over for speeding... Older Woman: Is there a problem, Officer? Officer: Ma'am, you were speeding. Older Woman: Oh, I see. Officer: Can I see your...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
POLISI jijini Dar es Salaam wamewaua majambazi watatu katika mapambano ya kurushiana risasi yaliyodumu takribani dakika 45. Tukio hilo lilitokea juzi saa 3.30 usiku katika makutano ya barabara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanawake hapa ndani si wengi sana, nadhani kuna haja ya kuanzisha umoja wao ambao utasababisha changamoto ndani ya forum. Wanawake ni ma organizer wazuri sana, pia wanashiriki kikamilifu shughuli...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana ndugu nikiwa katika kusoma maandiko nimekutana na hili neno limenigus a nikaona si kushirikiana tu kwingine hata kwenye kuokoa roho zetu pia Mithali 6:32 MTU AZINIYE NA MWANAMKE...
0 Reactions
23 Replies
13K Views
Jamani, kama kuwa waziri kwa miaka minne tu, inamfanya mtu awe hivi , mi nachelea tutarudi kwenye usultani sasa hivi! Hebu angalia habari hii...... Waziri Ngeleja nusura azichape kwa adha ya ATM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilipokuwa Bwa Mdogo nilikuwa naishi na uncle wangu! Huyu bwana alikuwa na tatizo la kisaikolojia ambalo kitaalamu linajulikana kama Inferiority Complex! Siku moja baada ya kurudi home usiku...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tuesday, 10 February 2009 VATICAN City State au kwa kifupi Vatican ni nchi yalipo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani. Kesho inatimiza miaka 80 ya uhuru iliyoupata kutoka Italy. Makala...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa taarifa kamili ya Kongamano, tazama link hii...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Hivi sasa baadhi ya wabunge nchini wameanza vituko na kuafanya kila wawezalo ili kuona kama wanaweza kuchaguliwa tena. Licha ya kuwepo wengi lakini yaliyoanza kufanywa na hawa Balozi Khamisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=5kFDW6lQzTQ&feature=relate
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu viongozi wakuu wa nchi, kuna darasa la bure kabisa kwa viongozi wa nchi yetu. Mtajifunza ni wapi mmekosea, mtapata feed back ya uongozi wenu bure kabisa. Mtajua nini matarajio ya wananchi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kweli kuna wakati tunazaa kuondoa maradhi tumboni!! Kijana kamuua mama yake huko tabata kisa alikuwa anataka nyumba wanayoishi iuzwe familia, mama, na kijana wake mwingine ambaye alikuwa ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
1st woman: Hi! Wanda. 2nd woman: Hi! Sylvia. How'd you die? 1st woman: I froze to death. 2nd woman: How horrible! 1st woman: It wasn't so bad. After I quit shaking from the cold, I began to...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Pentecostal pastors and many other people are known by their fruits. This question and answer section has been set up to test your knowledge about the most famous Pentecostal pastors. As i like to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom