British high commission in dar

British high commission in dar

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,156
Nahisi hii thread nayo, hapa si pahala pake lakini nahitaji immediate response kwa kile ninachoamini kwamba forum hii (hoja mchanganyiko) ndio inayotembelewa zaidi na wanajamii-am sorry in advance!!! Awali nili-post thread moja tittled SITAKI KULIA, NATAKA KUCHEKA!!!! Unfortunately, got no any useful information. Am here now looking for another assistance, which is contacts for British High Commission in Dar and/or British Council/British High Commission Information Centre in Dar. Looking forward for ur assistance!!!
 
Mbona Mkuu uanzaji wa thread zako zote ni monotonous?
Kwanini uanze kwa apologies every where?..Be confident bana..huh!
 
Mbona Mkuu uanzaji wa thread zako zote ni monotonous?
Kwanini uanze kwa apologies every where?..Be confident bana..huh!

Najua hii thread ilistahili kwenye forum ya MATANGAZO MADOGOMADOGO Mkuu, kule members wanao-visit ni wachache wakati nahitaji immediate response!!! Ukijua unakosea, ku-aplogize in uungwana!!!!!! Na si kweli kwamba thread zangu zote naanza kwa apologies, kwa hizi mbili mbili nakubali madai yako na sababu nimeeleza. RESPECT
 
nenda www.ukintanzania.gov.uk or google it utapata kila kitu. Kuna mtu namfahamu pale kama unadharura yenye kuhitaji msaada wa haraka nipm nikupatie number yake.

Ni kweli mkuu, nina shida sana!!! Lakini dah, sijawahi kutuma PM hata mara moja, therefore nimejitahidi kutafuta hiyo option ili niku-pm, nime-fail. Labda look for alternative (may be uni-pm) wakati naendelea kusoma maelezo ya ile sites uliyonipa. Thx in advance
 
Back
Top Bottom