Rais unajua hivi vifo vya njaa lindi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Watu kadhaa wanaendelea kufa lindi kutkana na balaa nja
huku wakiongea kwa majonzi na wakionyeshwa wanyama wao waliokufa wametapakaa chini kutokana na kutopata vyakula wamesema watanzania
wengi wanakufa na hakuna wanaowajali,,,huku wakibubujikwa na machozi kwenye kijiji cha kiberasho wanasema serikali imewatumia tan 26 ambazo zina uwezo wa ktunza kaya 14 tu wakati kuna kaya zaidi ya 800.....
kwenu wana jf huku mkisherekea sikukuu ya kuzaliwa kwa yesu kristo iwapo unapata mlo kamili kila siku embu wakumbuke watu hawa kwenye sala zako yesu aweze kuzaliwa kwao pia
Nawatakia
XMASS NJEMA WANA LINDI....
 
unajuwa Wadanganyika wana sera ya UBEPARI sasa tena aliyetangaza anatokea huko KUSINI somo bah yaani tuombe Mungu atulinde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom