Hali ya Usafiri ikokoje kutoka zanzibar kwenda Bara?

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=THcbQyFtCqg[/ame]

Nakumbuka wakati ule wa edi hali ilikuwa ngumu kwa waisilamu waliokuwa wanarudi
nyumbani kula sikuku na familia zao ,naimani na wezetu wali okuwapo hapa zanzibar huwa wanafanya safari za kwenda makwao kuwaona ndugu na jamaa katika wakati kama huu wa sherere za xmas ,kwani ni muhimu hilo mtu kwao.
 
Hali ya usafiri ni shwari kabisa, vyombo vyote vinaondoka kwa wakati kama vilivyopangiwa.

Ila hali ya bahari kwa kipindi hichi kuna mawimbi madogomadogo na mkondo wa pale Wazo unavuta sana. Hivyo watu wengi wanatapika sababu ya wimbi la WAZO.
 
Back
Top Bottom