Ukuu wa binadamu dhidi ya viumbe wengine duniani

Ngala

Senior Member
Sep 30, 2009
160
23
Tangu dahari inaaminika mungu alimuumba binadamu kwa mpango maalumu na kumpa uwezo wakutawala na kumiliki viumbe wengine vilivyopo duniani. Kwamba kutokana na uumbwaji wake yeye ni mbora kullko viumbe vingine vyote. Hilo sina tatizo nalo maana nimekaririshwa na kuaminishwa hivyo.mashaka yangu ni kuwa mbona huyu aliyependelewa hivyo amegeuka na kutenda matendo ambayo ni angamizi kwake mwenyewe na viumbe wengine? Kama viumbe wengine ni zero akili inakuwaje wawe na staha zaidi kuliko hao binadam? Maana wanyama tu,hawajamiani ila tu wanapohitaji kuzaliana tu? Je wanawezaje kujua muda ambao jike lipo tayari kuzaa ilhali binadamu anafanya kama big g? Je ni wapi mnyama alikojaribu kuikaribu hii sayari? Ona binadamu eti mwenye akili alivyorundika nyukilia ambazo kwa pamoja zikilipuka hakuna tena kitu kinachoitwa dunia? Mnyama /samaki haijui sindano wala kidonge wanaishi bila hofu ya magonjwa ila binadamu wawatengeneze maradhi. Duniani kote wanalia tabianchi tabianchi hivi ni nani aliileta hali hiyo kama sio binadamu mwenye eti akili? Je niendelee kuamini hivyo kama nilivyo aminishwa? WanaJF naomba kuelimishwa juu ya imani hii. Mie inanitatiza
 
Good thread.

But I think it is better first to find out, why do people do evil? Where is the beginning of evil mind?

Maybe we should look of these few things. Money, Power, Pursuit of the good, Sadism, Boredom, and Victimhood.

They might help to answer your exellent thread.
 
Back
Top Bottom