In defence of Wahaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

In defence of Wahaya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamasala, Dec 23, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nashangaa sana kuna thread nyingi zinawalaumu Wahaya.Wamekuwa kama Jews wa Tanzania,kila kitu kibaya ni wao,ufisadi,ukabila,ngono,majidai etc etc.Facts ni hizi hapa:
  Ukabila:Sidhani wanatofautiana na Wachaga au wanyakyusa au Wapare!
  Wakati wa Nsekela na Mwaikambo ,NBC na BIMA zilikuwa za
  Wanyakyusa,mpaka leo wakina twambombo wamejaa huko.
  Mnakumbuka JWTZ,lilikuwa Jeshi la Wakuria Tanzania,maana watu
  toka kwa Nyerere walikuwa wamejaa.Ukabila kwa Wahaya labda
  kuoana kwa wenyewe kwa wenyewe.
  Ngono: Makabila mengi sioni tofauti na Wahaya.Wanyiramba,Warangi,
  Wazigua,watu wa kusini(Songea),Wanyakyusa wote wanapenda
  ngono.Ukiangalia hata kuzaa nje wahaya hawana hili,kama
  makabila mengine.
  :
  Utapeli: Na ufisadi ni makabila yote tu sasa!Mafisadi wakubwa ,Mgonja,
  Lowassa,Mramba ,Balali,Anna Mkapa ni toka mikoa ya Arusha na
  Kilimanjaro.Kwa hiyo wahaya wasiwe kama ndio pekee.

  Elimu:Tukubali kuwa Elimu waliipata mwanzo kabla ya makabila mengi ndio
  prominent people na academicians wengi toka huko.
  Tukumbuke first Cardinal alitoka uhayani.Madokta ,Engineers,
  Wengi kutoka huko ukifika hata States etc.Jiulizeni mbona hatuna
  wa kutoka Singida,Dodoma etc.

  Labda wakiacha ubishoo na kulinga !lakini hilo halisumbui jamii zaidi ya mfisadi.

  nafikiri Tanzania sasa tatizo ni elitism,ufisadi na kidogo udini.Ukabila sio deal sana.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mwanamasala,
  Wakurya hawatoki kwa Nyerere. Hili kosa linafanywa na Watanzania wengi kudhania watu wote wa Musoma ni Wakurya. Kuna makabila zaidi ya 24 katika mkoa wa Mara peke yake, Wakurya wakiwa miongoni mwao.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mwanamasla...Na ijulikane tangu sasa kwamba Hakuna mtu asiyependa ngono!..Hajazaliwa bado!..Lakini kinacholeta utofauti kwenu nyie wahaya ni kukithiri kwa tamaa zenu juu ya ngono...Katika mji niliokuwa naishi nikiwa mdogo zama hizo kulikuwa na vibanda fulani vikiitwa "vibanda vya wahaya", kwa maana kwamba walikuwa wame'commercialize ngono toka mwanzo kabisa, na kuihalalisha katika jamii na mitaa!..Na hii ishu ilikuwa imeenea katika mikoa mingi sana, huku wakikoleza biashara yao na mtindo maarufu uitwao KATERERO, ambapo mwanamke wa kihaya alikuwa radhi kabisa kumfundisha mwanaume yeyote mchezo huo, ili tu amkate kiu!..huh!
   
 4. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2009
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ah katererooooo!! wahaya kwakweli bado mpo juu....mambo mengi these days karibu makabila yote hufanya, lakini ngono wandugu mnayo dah! hii nafikiri bcz ilianza muda mrefu! yani kupigana bao hovyo ni kitu cha kawaida, ila uzuri michezo mizuri kwenye game wanayo kwakweli inaridhsha mwe!
   
 5. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #5
  Dec 23, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya ya wahaya yanatia haya kuyaonea haya.
   
 6. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #6
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  NI WALE WALE kwani nyerere si wa MARA??? aliamua kuwapendelea hao kwakuwa KAKABILA kake ni kadogo lakini kanafanana na wakurya  STEREO TYPING zimwi likujualo halikuli likakwisha, ukabila kwa kuoana unaweza kuulionganisha na ukabila wenu wa kulundikana ofisini kwa vihiyo eti kwakuwa tu ni mtoto wa nyumba ndogo yako?????
   
 7. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sioni tatizo la Katerero!Ni aina ya mapenzi!Una uhuru kufanya chochote katika mapenzi bora mwanamke na mwanaume wakubaliane!Kama nilivyoanza na thread hii,hatatuwalaumu Wahaya kwa ukabila peke yake!

  Nimetoa mifano hapo juu,tangu enzi ya Nyerere etc.Kuhusu ngono ni perception rather than facts,ukienda miji mingi ya Tanzania ,guest houses kibao,kabila dominant ndio
  hufanya mambo haya.

  Hebu tuwape ahueni Wahaya,badala angalieni positive contribution katika society kielimu,kidini etc.Tukumbuke Wahaya ni wachache sana,lakini wametoa academics wengi sana
   
 8. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Na tunarudi kwenye fani yetu kwa kasi...
  Angaliaangalia matokeo kuanzia msingi mpaka vyuo...
  System ilitaka kutuparalyse
  Olikuba akatanyukwile.......
   
 9. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #9
  Dec 23, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tikoma
   
 10. RUTAJUMBUKIRWA

  RUTAJUMBUKIRWA Senior Member

  #10
  Dec 23, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tanzania haina ukabila ila inimegundua huo kidogo uliopo unafanyiwa Wahaya. They are the most persecuted people in Tanzania!
   
 11. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ruta,labda ubishoo,malingo na kujidai ndio matatizo yenyu Wahaya!
  Lakini Ukabila sio nyie tu:Angalia Wachaga,Wanyakyusa etc.

  Angalieni Amon Nsekela na NBC na G.Mwaikambo na BIMA miaka ile.Ukabila ulikuwa mkubwa sana.JASUSI amejaribu kumtetea Nyerere kwa Wakurya sio kabila la Nyerere,
  wote ni Wamoja tu,MARA!
   
 12. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #12
  Dec 24, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Baba yako ni Baba yako tu, na aliyekutangulia kuliona jua KAKUTANGULIA you will NEVER REVERSE IT.

  Poleni sana, maana thread za kuwaponda wahaya zimejaa humu.

  MTAJIJU

  PROUD to be a member of that TRIBE.
   
Loading...