Ndugu katika jf. Tulishaiona kesi ya chenge kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu au kulipa 700,000/=
je huyu mheshimiwa angekuwa amemuua mh. Lidhiwani adhabu ingekuwa ni nusu ya ile...
WADAU NAITAJI CONNECTION NA WATU WENYE UZOEFU KATIKA BANKING NA FINANCIAL SECTOR,LENGO KUBWA NI KUSHIRIKIANA KUZA HUDUMA ZA CONSULTANCY NA TRAINING ZA KAMPUNI KUBWA YA FINANCIAL CONSULTING KUTOKA...
nataka kuanzisha shule ya chekekea, ni masharti gani ya kisheria natakiwa kutimiza/wapi naweza kupata maelezo ya hizo requirements, nimejaribu kuangalia katika mtandao wa wizara ya elimu lakini...
Kunabosi mmoja katika taasisi inayohusiana na usimamizi katka safali za anga ambae ni mkulugenzi wa utumishi ametoa ya mwaka kwa kukataa kutoa zawadi za noel na mwaka mpya kwa vituo vya watoto...
Prof Ndulu, alisema kuanzia januari mosi, tutaanza kutumia fedha mpya zenye ubora wa hali ya juu, na ukubwa size ya dola ya USA. ila katika hali ya kushangaza hakuna benki hata 1 iliyopokea fedha...
UKIZUNGUMZIA nyota waliowahi kutesa katika medani ya soka ya Tanzania kwenye miaka ya sabini hadi mwanzoni mwa themanini basi huwezi kuacha kulitaja jina la Jellah Mtagwa nyota wa zamani klabu za...
Wana jf, naombeni kwa mwenye taarifa za aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya rais ya kubinafsisha mashirika ya umma tanzania ndugu john lumbambe yupo wapi na anafanya nini? Maana huyu ni mmojawapo wa...
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa...
Wilaya za Kahama na Bukombe mkoani Shinyanga ndizo wilaya vinara wa matukio mballimbali ya uhalifu yakiwemo matukio ya ujambazi na unyanganyi wa kutumia silaha.
Kamanda wa Polisi mkoani...
Sikuwahi kutegemea katika maisha yangu kama babu yangu alikuwa anaona mbali kiasi hiki. nakumbuka ilikuwa mwaka 90 wakati aliponiambia kuwa watanzania. ni waerevu sana lakini wa kijinga.
Na...
Habari ndugu zangu mabibi na mabwana wana JF, nilikuwa mikoani kwa takriban wk3, nimeona mambo mengi ambayo yanahitaji kujadiliwa nikikaa sawa nitatoa moja moja. Good day.
Ndugu zangu wanaJF,
Nimehabarishwa na rafiki yangu mmoja anayeishi Mbezi ya Kimara kwamba wananchi wanahaha kutafuta maji baada ya DAWASCO kuamua kukata huduma ya maji kwa wafanyabiashara...
Mkapa aenda kusimamia kura za maoni Sudan
Na Andrew Ignas
RAISI Mstaafu wa awamu ya tatu, Bw. Benjamini Mkapa amewataka Watanzania kumuombea aweze kusimamia upigaji kura za maoni Januari...
Napenda kuunga mkono mgomo wa kupandisha gharama za umeme tanzania. Sababu zangu ni hizi:
kupanda kwa umeme kuna athari kwa makundi yeto, (wakulima, wafanyakazi, wenye kutumia umeme na...
tumeshuhudia siri mbalimbali zilizofichuliwa na mtandao wa WikiLeaks kama ile inayohusu kashfa ya mkurugenzi wa PCCB na sasa mkurugenzi wa ATC,tunaomba wizara ya habari ya nchi yetu itoe tamko...
Source: Mwananchi
Chatu wa mila asababisha hofu kijijini
Monday, 03 January 2011 19:58
Joseph Lyimo, Kiteto
WAKAZI wa Kitongoji cha Kazaroho, Kijiji cha Matui, wilayani Kiteto, mkoani Manyara...
Wananchi wanapokuwa na msimamo serikali husalimu amri.
Bolivia's Morales drops planned fuel prices hike
Bolivia's army had begun selling bread in response to a strike by bakers
Bolivian...
Wakati serikali ikikiri kuwa kuna ubungufu wa walimu nchini, walimu waliohitimu stashahada na shahada mwaka jana mwezi 5 na 6 bado hawajapatiwa ajira zao,kwa kawaida uchukua miezi miwili hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.