Kuhusu WikiLeaks; serikali itoe tamko

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
tumeshuhudia siri mbalimbali zilizofichuliwa na mtandao wa WikiLeaks kama ile inayohusu kashfa ya mkurugenzi wa PCCB na sasa mkurugenzi wa ATC,tunaomba wizara ya habari ya nchi yetu itoe tamko kama habari hizi ni za kweli na ni nini msimamo wa serikali kuhusu habari hizi,au wan Jf mnazichukuliaje habari hizi?
 
Mi sihitaji usanii kutoka serikalini,i want to believe what wiki leaks said,haya ya serikali hata wakisema ni kuumizana tu vichwa.
 
Back
Top Bottom