John lumbambe: Yupo wapi?

John lumbambe: Yupo wapi?

Mhoja

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
207
Reaction score
24
Wana jf, naombeni kwa mwenye taarifa za aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya rais ya kubinafsisha mashirika ya umma tanzania ndugu john lumbambe yupo wapi na anafanya nini? Maana huyu ni mmojawapo wa watu wasiopaswa kusahauliwa katika the list of shame. Aliyauza mashirika yetu kwa bei chee na kwa marafiki zake. Nawasilisha.
 
Jina lake ni John Rubambe sio Lumbambe
 
Thanks jf member edo, correction of name noted, but where is he?
 
..Kikwete alimfuta kazi, halafu akampachika rafiki yake.

..hali iliendelea kuwa hivyohivyo hata baada ya Rubambe kuondolewa.

..nadhani sasa hivi yuko kwao Mwanza.
 
hayupo mwanza, alikwenda uingereza, ila kwa sasa sina uhakika kama bado yupo huko, ila alimeki pesa nyingi sana yeye na BMW, benjanimin mkapa wiliam.
 
Back
Top Bottom