Je mheshimiwa chenge angemuua lidhiwani pekeake angefungwa mwaka mmoja na nusu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mheshimiwa chenge angemuua lidhiwani pekeake angefungwa mwaka mmoja na nusu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Jan 4, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndugu katika jf. Tulishaiona kesi ya chenge kuwa alihukumiwa kifungo cha miaka mitatu au kulipa 700,000/=
  je huyu mheshimiwa angekuwa amemuua mh. Lidhiwani adhabu ingekuwa ni nusu ya ile aliyopewa au ndo adhabu inategemea na thamani ya mtu aliyegongwa?.
   
Loading...