Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku sio nyingi Tigo walishusha sana bei za mawasiliano na almost kila mtu alinunua line za Tigo, sasa siku hizi naona nikitumia Tigo-Tigo ni ghali sio kama zamani..Hivi kwa sasa ni ni ipi rahisi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wan JF, Habari nilizo zipata jioni hii, Kutoka shule ya Baraton Adventist Secondary Scholl huko kenya ambako kunadaiwa wanafunzi walimpiga mwalimu na waka wekwa ndani na baada wanfunzi wa kenya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=ui1Hgs2ODDI&hd=1 huu si ni ukatili mkubwa jameni?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Someone just sent me a link for this. The original image was posted on Blastr.com,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Friday, September 17, 2010 8:33 AM Madaktari watano wa nchini Afrika Kusini wamepandishwa kizimbani kwa kuuza figo za watu 109 katika kipindi cha miaka miwili...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Behewa 5 zimeharibika kufuatia TRL kufanya safari zake mara moja kwa wiki ambapo inasababishwa na abiria wengi kubeba mizigo mingi kupita kiasi. Inakadiliwa kuwa kufuatia safari na mabehewa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello! im new to this blog but happy to having this opportunity to share some experiences going on in our country Tanzania! im used to listening BBC alot, and for the past 2 days they had a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitambo Kidogo mmoja wa wana JF alikuwa akitafuta wimbo wa Mbaraka ulokuwa unazungumzia mashujaa wa Africa. Nimeambatanisha hapa kibao ambacho alikuwa anamlilia Mzee wetu hayati Abeid Amani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katoto.JPG (image) watoto wakibeba tofali Morogoro, Tanzania. Hisani ya mpoki.blogspot.com Je, Haya ni maisha bora????????? Shule wanaenda saa ngapi??????? Insikitisha sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda kuwapongeza wamiliki wa magazeti ya Mwananchi, the Citizen kwa kuanzisha digital paper au e-paper. Hili ni jambo jema sana na hasa katika kipindi hiki cha "information age" ambacho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Its really frustrating jamani,sekta muhimu kama TRA bado wanazembea kazi,hii inaonekana wazi kwenye maswala ya clearing and fowarding.Inasikitisha sana jinsi mafaili ya wateja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Friday, 17 September 2010 Freddy Macha Recently, a young Tanzanian was almost beaten to death for allegedly being in the company of an Asian woman. The incident is part of a rising backlash...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jerry Okungu IT has been a busy period for partner states in East Africa. If it wasn’t Burundi holding its elections early in the year, it was Rwanda’s turn to hold its own amidst all manner...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Inaonekana miaka inavyosogea ndivyo mambo yanavyokuwa hovyo. Hili linathibitishwa na kila mmoja ukimkumbusha miaka ya '80 na early '90. Kikweli miaka ile life ilikuwa tam ukichanganya na uyanki wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hawa inabidi adhabu yao iwe mara mbili ya adhabu ya wabakaji wasio viongozi wa dini: Ustaadhi wa Madrasa akamatwa akibaka Mwanafunzi Na Samuel Msuya,Morogoro JESHI la Polisi mkoani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
I would defensively like to share the literature commentators in ins above! that i found it really hard to express myself to demonstrate my rights in different issues which i found absolutely...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wahudumu chumba cha maiti wakutwa na viungo vya mwanamke Wednesday, 15 September 2010 05:21 NAIROBI,Kenya JESHI la Polisi nchini Kenya linawashikilia wanaume wawili wahudumu wa vyumba vya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nimepwa taarifa kuwa kiwanda cha Vickfish kinaungua moto maeneo ya Jet/Kipawa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF mwaendeleaje na misukosuko ya maisha?? Sasa kuna hii taasisi TSPCA sina uhakika ni ya Serikali au ina affiliation yoyote na Serikali au ni ya binafsi. Ningependa kujuzwa hapo. Na kama...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
wakuu heshima mbele kuna jambo linanitatiza nalo ni jinsi watu wengi wasivyojua thamani ya kura yao kiasi kwamba anaweza kuiuza kwa pilau, tshert,kanga, kofia buku, 5000, na 10,000. chakushangaza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom