Walimu 16,000 wa sec wakosa ajira hadi sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu 16,000 wa sec wakosa ajira hadi sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jitu la kale, Jan 4, 2011.

 1. j

  jitu la kale Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wakati serikali ikikiri kuwa kuna ubungufu wa walimu nchini, walimu waliohitimu stashahada na shahada mwaka jana mwezi 5 na 6 bado hawajapatiwa ajira zao,kwa kawaida uchukua miezi miwili hadi mitatu kuajiriwa na kupangiwa vituo vyao lakn kwa mwaka huu imekuwa tofauti.Pamoja na C.W.T kuthibitisha kuwepo kwa hali hiyo ambayo imesemekana kutokana na serikali kuwa kimya na kuficha ukweli kwamba haina pesa,yamkini serikali imepitisha bajeti ya walimu hao wapya tangu juni 2010 bado wanaangaika mtaani na wengine kukimbilia ajira binafsi na ngo's. Source mwananchi ya tarehe 29/12/10,na 4/01/11
   
 2. B

  BARKMEI Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Kweli mkuu, kuna kampuni rafiki yangu anafanya kazi walimu wanne wa SHAHADA wameajiriwa na wenyewe wanasema hawafikirihi kuacha tena endapo ajira zao zikitajwa kwani allowance zilizopo zimewalewesha. Hivi kwanini serikali mmeamua kuwakosesha ajira watu waliosomea kazi hiyo (MARKETING)? (wapo wengi mtaani na BCOM ZAO wanataabika na magazeti mikononi!) na mkurugenzi wake amesema ataendelea kuajiri walimu kwani ndio wanamaadili ya kazi, uvumilivu na kujituma vilevile hawahamihami kutafuta maslahi. Je huo mpango wa kumaliza tatizo la walimu utakwisha? cream yote ya walimu imeshaajiriwa shule za private, makampuni na taasisi binafsi, je shule hizi za kata hazihitaji walimu bora?.

  Nilipoona KAWAMBWA amepewa wizara nilijua tu elimu nchini kwisha,
  Hivi tokea lini SWAHIBA akafanya kazi kama unavyotaka?
  narudia tena MSWAHILI si mtendaji kazi! huu ni zone favoritism mmtupu, sasa we MKWERE muulize kwanini asiajiri walimu hao
  kama asipokujibu kikwere.

  mimi si mtu wa kipato kikubwa ila nimeshapiga marufuku watoto wangu kusoma shule za KATA bora nilale njaa, nisivae vyema mimi na familia yangu.
  Walimu wenyewe hawa ni wa kizazi cha .COM unafikiri mmeshawazingua hivi mnazani watafundisha kwa moyo na wakati wanazaraulika?

  UPUUZI MTUPU!!
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mishahara ya walimu si around TShs. 300,000 per month/

  16,000 X TShs. 300,000 x 12 = 57,600,000,000

  Kama serikali ikasitisha malipo ya DOWANS TShs 185,000,000,000/57,600,000,000 = miaka mitatu; vianzo vingine vya mapato vitakuwa vimeimarika (mfano. loss making mining companies) hivyo watoto wetu kuendelea kupata elimu bora.
   
 4. B

  BARKMEI Member

  #4

Loading...