Lakini siyo lazima Wizarani
Nenda kwenye Halmashauri yako Onana na mtu wa Ustawi wa jamii na au Afisa Elimu wa wilaya
Siyo issue sana lakini kama target yako ni kuwa na kuendesha shule ya msingi kuwa wazi kwao,kwani wengi wanaanza na chekechea kwa malengo ya kuanzisha shule za engklish medium,kuna fomu fulani inaitwa namba 7 kitu kama hicho,Kama hauko kwenye Jijiji la shida(Dar) WEWE NENDA WILAYANI KWAKO tu