Wana jf, mimi ni mjasiliamali mdogo ambaye ninamiliki maduka mawili(2) ya dawa baridi, nahitaji mjasiliamali ambaye yuko tayari tuungane ili tuweze kufungua pharmacy,
aliye tayari tuwasiliane...
Hakijaeleweka ni nini, lakini miungurumo mizito na vumbi lililochanganyikana na moshi vimetanda angani na kuleta hofu kubwa Maeneo ya Kigamboni.
Mwenye taarifa rasmi za kinachojiri atujulishe.
Jioni ya leo katika radio ya pashen fm huwa kunakuwa na kipindi nimekisahau jina. Wapo watangazaji watatu; wa kiume mmoja na mabinti wawili wenye sauti nyororo. Kilichoniboa kuhusu wote watatu ni...
Ndugu zangu naomba niwahabarishe kwamba ndege ndogo iliyokuwa imebeba watu wanne imeanguka mara baada ya kupaa kutoka katika uwanja wa ndege wa Sumbawanga, leo mnamo saa kumi kasoro jioni. Kizuri...
Wakubwa
nimepitisha hoja hii kwenye jukwaa hili,baada ya kutafakari kwa muda mrefuu juu ya mwamko wa mabadiliko ya kidemokrasia hasa kwa nchi kama Tanzania.
Ukisoma mitandao ya niternert,vyombo...
Ndugu wapendwa waweza kuona dunia kila mtu anakuchekea baya ujui nani anakupenda ktk hao wanaokuchekea..
majana kulikuwa na misukule iliochukuliwa na mapepo kwa uweza wa mungu walirudishwa na...
wakuu katika juhudi za kukwepa daladala nimeagizia gari ndogo sedan ya mwaka 2001.
nataka kujua viwango vya charges mbalimbali kama
(1) Shipping line charges
(2) Registration charges
(3) port...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete jana aliendelea na mikutano yake ya kampeni katika mikoa ya Katavi, Rukwa na Mbeya ambapo wananchi walimpa matumaini makubwa ya ushindi lakini...
Hivi karibuni idara ya zimamoto imeanza kutoza/kuuza sticker za zimamoto kwa viwango mbali mbali kulingana na ukubwa wa gari. Bei ya chini ya sticker ni 5000/= kwa gari ndogo[saloon] na kuendelea...
HOUSE FOR RENT
Natafuta wapangaji wawili wa muda mfupi yani mfano mtu anayekuja from another country anakaa TZ for like 2-3 weeks or a month or two ambaye hataki kukaa hotelini
Facilities...
Habarini wakulu!
Hii imenitokea nikiwa pale arusha! Nilienda kwa ajili ya kupata matibabu ithner asheri charitable dispensary. Wanakawaida ya kutoa namba kwa ajili ya kumuona daktari. Mie...
Hivi karibuni kumezuka na fasheni ya kuvaa nguo za kuacha wazi matiti kwa asilimia 75 yanaonekana mpaka kwa kinamama na makanisani hii inawafundisha nini watoto na ata ambao hawamjui mungu kwa...
Msg yenu mliyonitumia leo kwenye simu yangu yangu ya mkononi imenidhalilisha na kunisononesha sana kwa kuwa mmenisingizia kuwa mimi ni mtoaji na mpokeaji wa rushwa, na MTANIBAMBA.
Kwa kweli hii...
ndugu zangu wa tanzania mnalichukuliaje swala la tbc taifa kuwakatia chadema matangazo?
binafsi nilidhani wangekua waungwana na kuhakikisha kuwa wanavitendea vyama vyote sawa
je hii sio...
Jana nilimpeleka mgonjwa wangu Hospitali ya Mount Meru akiwa na shida inayohusiana na allergy.
Lakini nilikatishwa tamaa na mganga niliyemkuta kwenye chumba kimojawapo nilichoelekezwa!
Kwa...
Kanisani kwa mama kuna maombi yanaendelea pale ya wiki nzima kuombea amani ya nchi.
Hii ni kwa mujibu wa vyombo vya habari.
Sina wasi wasi na maombi ila wasiwasi wangu unajitokeza pale...
Wednesday, August 18, 2010, 3:20 AM
U.S. Embassy Dar es Salaam, Tanzania
Warden Message - Snatch and Grab Robberies
August 17, 2010
This Warden Message is being issued as a reminder of the...
Hi wananchi wenzangu,kipindi cha uchaguzi sio muda wa wanasiasa kupiga ngonjera zao tu bali na sisi waalikwa kuwapima wenzentu. Leo nilikuwa jangwani tangu saa nne asubuhi mpaka giza linaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.