Mgomo wa kupanda gharama za umeme uwe ni kwa watanzania wote

wagagagigikoko

Senior Member
Dec 5, 2010
163
49
Napenda kuunga mkono mgomo wa kupandisha gharama za umeme tanzania. Sababu zangu ni hizi:

  1. kupanda kwa umeme kuna athari kwa makundi yeto, (wakulima, wafanyakazi, wenye kutumia umeme na wasiotumia umeme)
  2. mgomo utarudisha heshima ya wanzania na kuipa fundisho serikali isiyo na masikio kuwa tunajua haki zetu.
  3. kutakuwa ni hatua moja mbele ya kupambana na ufisadi tanzania
  4. kupanda kwa kutapunguza uwezekano wa vijana kujiajiri wenyewe
  5. kutaongoza umasikini kwa watanzania,
  6. kutaneemesha tabaka la walionacho na kudhoofisha tabaka la akina kabwela
  7. ...
  8. ...
  9. ...
  10. ....
hivyo hima watanzania tuungane kupiga kelele za no no no no no kupanda umeme
 
Back
Top Bottom