Ama kweli watanzania ni waerevu wa kijinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama kweli watanzania ni waerevu wa kijinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Jan 3, 2011.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Sikuwahi kutegemea katika maisha yangu kama babu yangu alikuwa anaona mbali kiasi hiki. nakumbuka ilikuwa mwaka 90 wakati aliponiambia kuwa watanzania. ni waerevu sana lakini wa kijinga.

  Na sasa nimeamini angalia tunavyoibiwa huku tunaangalia hatufanyi lolote. umeme wametupandishia kodi wanapandisha mali asili za tanzania wanaziuza zote matokeo yake sasa mapato ya serikali yanatokana na kodi. angalia katika mxhahara wa kawaida unabakiwa na shilingi ngapi, angalia maisha yalivyopanda na bado tumekaa tunawapa tu, tunapenda sifa za kujulikana bila kufanya mambo yoyote ya maana. tunaanzisha kitu hatuwezi kumalizia, waoga wa kutoa wazo la maendeleo lakini waerevu wa kutoa wazo la kuteketeza nchi kwa masilahi yako mwenyewe.

  Watanzania muda umefika sasa tusimame kama nchi zingine Tanzania ina sifa ya madini ya Tanzanite madini yanayopatikana tanzania peke yake lakini kimataifa sasa yanajulikana kuwa yanapatikana kenya. IS THIS FEAR kumlipa mtu hela aweke mfukoni na bado kodi tumlipe pia, Je ni kweli tumeshindwa kabisa kutengeneza falls River Nile so as to get power, ????

  Watanzania tuamke tuungane pamoja sasa na tutafute mstakabali wa taifa letu KWA HALI NA MALI KWA NGUVU NA KWA ELIMU NA UJASIRI WA HALI YA JUU. NO BODY CAN COME TELL US UR DYING WE ARE THE ONE TO WAKE UP AND ACT.


  GOD BLESS TANZANIA ​
   
 2. R

  Retreat JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Livanga vitu unavyo andika wewe ni vigumu zaidi kwa watanzania kuelewa. Yaani hapo ni kama unapigia gita mbuzi acheze.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hivi huoni kama ndio asili yetu? Tangu kipindi cha nyerere?
   
 4. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Anza wewe!!
   
 5. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1,158
  Trophy Points: 280
  toa plan tufanyeje? Well mi na suggest tuanze na kum assassnet mkwere, livanga upo tayari? Yeye si ndio mwenyekiti anaewapa jeuri mafisadi?
   
 6. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  BRUCE LEE umeongea jambo ambalo kwa watanzania ni gumu kuelewa lakini kwa upand mwingine ni zuri sana. assassination will be one among the good lesson to the fraud leadership like the one we have now. yes we can start with that na nakwambia itakuwa fundisho na mambo yatakaa kwa mstrari.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA​
   
 7. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  kuanza mimi napenda sana lakini wakowapi watanzania watakao niunga mkono kama wewe tu unasema nianze mimi ni wazi kabisa kwamba hautfanya lolote wala chochote kuninga mkono
   
Loading...