Wananchi wanapokuwa na msimamo serikali husalimu amri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wanapokuwa na msimamo serikali husalimu amri.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nonda, Jan 4, 2011.

 1. N

  Nonda JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Wananchi wanapokuwa na msimamo serikali husalimu amri.

  Bolivia's Morales drops planned fuel prices hike

  [​IMG] Bolivia's army had begun selling bread in response to a strike by bakers

  Bolivian President Evo Morales has rescinded a decree which raised fuel prices by more than 70% and sparked civil unrest.
  Mr Morales reversed the price rises introduced less than a week ago following talks with trades unions and groups representing indigenous peoples.
  The fuel price hike had provoked mass protests and a transport strike.
  Bolivia's army had begun selling bread in response to a strike by bakers angry at the move.
  The leftist government said the aim was to prevent shortages and counter a threat by bakers to raise the cost of Bolivia's daily bread.
  Bread price doubling? In a televised message broadcast late on New Year's Eve, Mr Morales said he had listened to unions and social groups.
  He would "obey what the people say by abrogating the decree raising gasoline and everything that accompanied that measure", the Associated Press news agency reported him as saying.
  "That means that all of the measures are withdrawn."
  The government withdrew heavy subsidies for petrol and diesel last Sunday, saying it could no longer afford to maintain a six-year price freeze.
  It said much of Bolivia's oil was being smuggled out of the country by profiteers.
  Petrol prices immediately went up by more than 70%, and diesel by more than 80%.
  Transport workers had begun an indefinite strike against the price rises.
  In an effort to lessen the impact of the bakers' strike, loaves baked in army ovens were being sold by troops in La Paz and El Alto.
  "We have been baking bread in our barracks, where we have industrial ovens with a capacity for 10,000 loaves a day," a Bolivian army officer told local media.
  The small loaves were being sold at the usual price of 0.40 Pesos Bolivianos (about 5 US cents or 3p), half what commercial bakers said they intended to charge when they reopened.
  Mr Morales had also accused the bread makers of "taking advantage" of the situation by seeking to double the price of a loaf of bread, noting that the price of electricity and natural gas used in ovens had not gone up.
  Political test On Thursday there had been violent protests in the political capital, La Paz, as well as the neighbouring city of El Alto and in Cochabamba in central Bolivia.
  Protests have been suspended for the New Year's weekend but were expected to resume on Monday, when the main trades unions were planning to march.
  President Morales had announced a series of measures to counteract the impact of the fuel hike on Bolivia's mostly poor population.
  Public sector pay and the minimum wage were being increased by 20%, he said. Power, phone and water tariffs were being frozen, and there was to be new assistance for farmers.
  The fuel price hike - which protesters were calling the "gasolinazo" - caused the cost of transport to soar, and pushed all food prices up.
  Correspondents say the protests are turning into one of the biggest political tests Mr Morales has had to face since he became Bolivia's first indigenous president in 2005.
  Both his predecessors were forced from office by mass protest movements in which he, as a radical peasant leader, played a prominent role.

  BBC News - Bolivia's Morales drops planned fuel prices hike  Je kupanda kwa bei ya umeme 18.5% hapa TZ kutawapeleka walalahoi mitaani?
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kupanda kwa umeme na kupanda kwa maisha inamaana na wewe mwananchi mlala hoi uongeze vyanzo vya mapato yako.kama ulikuwa unauza nyanya sokoni.kwamba kwa mwezi mzima unapata faida 100,000 ukigawa matumizi ya nyumbani,mahitaji ya watoto shule,kodi yanyumba na meza pale sokoni,uje ugawe bili maji,umeme bado mwenyewe hujajigawia kahela ka kwenda kupata japo soda.yaani kwa haraka haraka hiyo laki unaweza ukajikuta bado una daiwa.hapo ndo mtu mzima huwa anakaa na kujiuliza afanye nini ili ayamudu maisha kweli kazi sokoni anafanya ila faida haioni na madeni yamemjaa kila kona.hapo alipo kaa huyo mtu ndo huwa unazaliwa ubaya kwa lengo la kupunguza makali.1.nikihitaji pesa nikaibe benki,nikihitaji mwanamke nikabake,niki hijaji kula nyama nikaibe mbuzi.ili kale ka laki kangu ka sokoni kalipe umeme na pango. Hivyo ujambazi uharifu unatokana na ugumu wa maisha. Sio kwamba majambazi huwa roho zao haziwaumi kuuwa wenzao au sio kwamba dada zetu wanajua sana mapenzi ndiyo sababu za kujiuza hapana ni ugumu wa maisha. Natamani sana siku moja mafisadi waje wataifishwe mali zao afu waje huku shamba wajifunze shida waijue njaa waone jinsi mke wangu anapotaka kujifungua jinsi ninavyo henya mwanaume kumbeba kwenye baiskeli nakokota zaidi ya km.10 kumuahisha hospital.waone jinsi inavyotokea mke wangu uchungu umembana barabarani huku wanaume wanapita huku mimi nimegeuka mkunga gafla bila kuona aibu ya watu wanao nitazama.waone jinsi mke wangu nitakavyo mzalisha vibaya na kusababisha kifo cha mtoto na mama yake.waone jinsi nitakavyo shitakiwa kwa kosa la mauaji ya mke na mtoto.tena waone siku nitakayo nyongwa kama adhabu yangu. NAONA NIISHIE HAPO CHOZI LINAWEZA KUNITOKA.
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Watanzania sijui tuna roho gani hata kutukana tu hadharani tunashindwa?
  Mbwa mbwa shame to tanzanians
   
 4. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  mokozi tunakuomba utuangalie binadam tunatesana sisi kwa sisi tunakuomba utunusuru kama wana wa israel ulivyo waokoa kutoka katika mikono wa waovu.
   
 5. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa kweli watanzania tumezidi upole,dowanc anatutesa hapa lkn tupo kimyaa kama vile hatupo
   
Loading...