Post Mpya bado hazijaingizwa kwenye mzunguko kulikoni?

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Prof Ndulu, alisema kuanzia januari mosi, tutaanza kutumia fedha mpya zenye ubora wa hali ya juu, na ukubwa size ya dola ya USA. ila katika hali ya kushangaza hakuna benki hata 1 iliyopokea fedha kutoka BOT kwa ajili ya kuziingiza kwenye mzunguko.

Kama BOT walikuwa hawajajiandaa kwa nini walitoa matangazo??
 
Modes tafadhali rekebisha title ni noti mpya
 
In Africa we are not mean what we say..............alinukuliwa vibaya na ni mawazo yake binafsi
 
hela zote zimeibiwa airport..hakuna hela za kuingiza kwenye mabenk. wachapishaji wameambiwa wachape zingine...hivyo wanaendelea kuchapa. una ham na noti moya eeehhh... subiri zinakuja.
 
Hii ndo bongo bwani, wengi wa viongozi wa serikali utoa ahadi za UONGO
 
hela zote zimeibiwa airport..hakuna hela za kuingiza kwenye mabenk. wachapishaji wameambiwa wachape zingine...hivyo wanaendelea kuchapa. una ham na noti moya eeehhh... subiri zinakuja.

ha ha ha mkuu sina hamu na noti mpya na hamu ya kuona viongozi wetu wanatekeleza na kusimamia wanayoyasema imagine aliyesema by tarehe 1 kutakuwa na noti mpya ni PROF. Hata Ngeleja alisema by friday(4 wks ago) hakutakuwa tena na mgao wa umeme....leo dar nzima no power

Ukirekebisha unagonga pale chini save. Wee mcheki fuleshi RA na Mramba wa Rombo wamefanana sana

Nilifanya hivyo mkuu nahisi Moderator 2 kuna kitu kafanya sio bure
 
Wanagawana wao kwanza...alafu wako likizo wakianza kuzitumia ndo wadanganyika watazipata!!!
 
Back
Top Bottom