Its just a name...don't get it twisted..duh
@ FL1, thx for understanding...
@Ngongo, mbona bei kubwa hivyo...lakini ni maeneo gani pale Kwa Idd? Ni ndani sana au karibu na barabara...??
kuna jamaa alikua anauza viwanja maeneo ya moshono.. kama upo interested na huko niambie
Changanya na avatar yakegud luck ila jina lako kasheshe
kwa bei hiyo unaweza kupata pia maeneo ya usa,moshono,kwa mrefu n.kNatafuta kiwanja Arusha...nina million 10..:A S 465: