Fuso la mchanga lauwa makondeko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fuso la mchanga lauwa makondeko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BornTown, Oct 8, 2010.

 1. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wana jamvi nimepata taarifa muda mfupi kuwa FUSO la kubeba mchanga limegonga na kulalia watu waliokuwa kituo cha basi. wenye Taarifa kamili walio karibu na eneo la tukio
   
 2. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Makondeko ndio wapi? ebu fafanua vizuri tafadhali.
   
Loading...