Hili limekaaje ?

Magpie

Member
Aug 26, 2009
70
7
Ndugu zangu naomba kuuliza huu utaratibu unao tumiwa na hizi shule za udereva (Driving Schools) wa dereva aliye mafunzoni kuendesha gari huku akiwa amepakia wenzake na kupita nao katika barabara kuu na zile ndogo, je kiusalama na kisheria upo vipi ?
 
The point is, kulia kwake kunakuwa na Mkufunzi,ambaye ana gadgets zote muhimu za kucontrol gari pindi kukiwa na abnormality yoyote!..Mi soni kama hiyo kitu ina'pose hatari kuubwa kihivyo!
Lakini pia gari hilo lina markings zinazoashiria watu mafunzoni, hivyo kila mtumia barabara anatakiwa kuwa makini na gari hilo!
 
Back
Top Bottom