Kanisa la shetani!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kanisa la shetani!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by minda, Jun 15, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  The Church Of Satan

  Just in case you haven't read any Satanic material before now, here is a quote from The Satanic Bible:
  “There is no heaven of glory bright, and no hell where sinners roast. Here and now is our day of torment! Here and now is our day of joy! Here and now is our opportunity! Choose ye this day, this hour, for no redeemer liveth!”
  The Satanic Bible: The Book of Satan IV:2

  A Satanist does not believe in God, Satan, The Devil, Angels, Heaven, Hell, etc, all these items belong to Judeo-Christianity, not Satanism. If this is news to you then please, at some point, read the Description of Satanism. Neither does a Satanist believe in the Buddha's reincarnations, any myths of Judaism, Islam or Upanishad. They are irrelevant and silly ideas.

  Peter Gilmore, High Priest of the Church of Satan concurs:
  [​IMG]“As you can see there are no elements of devil worship in the Church of Satan. Such practices are looked upon as being Christian heresies. Believing in the Christian world-view of God vs. the Devil and choosing to side with the Prince of Darkness is pointless to the Satanist as neither exists. [...] To the Satanist, he is his own God. Satan is a symbol of Man living as his prideful, carnal nature dictates. Some Satanists extend this symbol to encompass the evolutionary "force" of entropy that permeates all of nature and provides the drive for survival and propagation inherent in all living things. To the Satanist, Satan is not a conscious entity to be worshipped, rather it is a name for the reservoir of power inside each human to be tapped at will.”
  CHANZO: Worshipping the Devil vs. Satanism


  MY TAKE;

  wakuu,
  nimeona vema niirudishe tena hii post ili tuweze kuijadili kwa weledi. mimi mwenyewe ni mkristo na siamini katika haya yanayohubiriwa katika kanisa la shetani.
  hata hivyo, katika siku za hivi karibuni (octoba 2010), kumeripotiwa kuwapo kwa kikao cha watu wa dini hiyo jijini dar, huku wakijiita kwa majina kama freemasons na illuminati na wamehusishwa na viongozi na wasanii wengi hapa nchini kuwa washiriki kwenye kanisa hilo.

  • je, kuna ukweli gani kuhusu uwepo wa kanisa la shetani hapa nchini kwa majina ya freemasons na illuminati?
  naomba kuwasilisha!!!
   
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  na hiyo picha yako inafanana na.....? I mean avatar yako.
   
 3. minda

  minda JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  UBUNGOUBUBUNGO:
  ...na hiyo picha yako inafanana na.....? I mean avatar yako.

  JIBU: wala siyo kama unavyofikiria...au unanitenga kwa kwa jinsi nilivyo? bwan mdogo unitake radhi?   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kondoo......
   
 5. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kama hadi shetani ameamua kuandika biblia yake, basi ni dhahiri kwamba siku za mwisho zimekaribia sana. Ni wakati wetu mzuri wa kutubu na kumrudia muumba wetu.
   
 6. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kondoo wa zizi gani preta! au ni wa aina gani, ! mbona hafanani hivyo?...anafanana na.....
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  wa lile zizi la kule kwa kina nanilii........:gossip:........umejua sasa?
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  unajua nanilii...... amekuja kuintroduce nanilii ili apate waumini wawe kwenye kundi lake........si unajua tena naniliii....anataka kuintroduce ilikanisa bongo? nchi zingine lilishakuwepo, na hapo bongo kuna kipindi lilitaka lifunguliwa wakapigwa stop,..ila nasikia huwa wanakutana wao kwa wao kisirisiri na wanatafuta waumini ile mbaya...mambo ya ibada zao huko, ajabu...ndo naniliii ameenda kuichukua iyo av..tar huko kwenye web yao...si unajua tena.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Duuh we acha tu. That is why I decided to sell my soul to Jesus Chris this sunday, for fame and fortune, Not the devil.
   
 10. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Inatia msisitizo....

  Wa kwetu hawako hivi...lol
   
 11. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Congrats my dear, uamuzi uliochukua ni wa busara sana, hauta kaa ujute maishani mwako. Kwa kufanya hivyo umetangaza vita na shetani, simama imara na siku zote utakuwa mshindi. Bwana Yesu akubariki sana.
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  You did not "sell" it, you "offered" willingly it to Jesus.... You can only Sell your Soul to Satan in return for something else
   
 13. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #13
  Jun 16, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana kama ma devil worshipers nao wanakuja Tanzania!! From what thsi guy has written, Plus what his avater looks like I just conclude 100% he is a ***** woshiper!!
  Yaani Mod mnakubali mtu atuandikie Satanic verses Hapa?
  Haya tushayasoma hayo maandiko ya kishetani. So what? Tujiunge na shetani sio?
  Am very irritated on this my dear mods.
  Ndio kuna uhuru wakuandika hapa JF. But this is too much!!!
  Please mods remove this rubish.
  or you can just give me a ban!!
  My dear God!! am sorry for reading this. I never knew that I was going to be given satanic verses!!
  I have just lost my working mood!! ngoja niombe sicksheet jamani.
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  JOSEY 1979 ANAANDIKA:

  "Inasikitisha sana kama ma devil worshipers nao wanakuja Tanzania!! From what thsi guy has written, Plus what his avater looks like I just conclude 100% he is a ***** woshiper!!
  Yaani Mod mnakubali mtu atuandikie Satanic verses Hapa?
  Haya tushayasoma hayo maandiko ya kishetani. So what? Tujiunge na shetani sio?
  Am very irritated on this my dear mods.
  Ndio kuna uhuru wakuandika hapa JF. But this is too much!!!
  Please mods remove this rubish.
  or you can just give me a ban!!
  My dear God!! am sorry for reading this. I never knew that I was going to be given satanic verses!!
  I have just lost my working mood!! ngoja niombe sicksheet jamani.
  "


  NAWAHAKIKISHIA WANA JF WOTE KWAMBA MIMI SIYO DEVIL**** NA NDIYO MAANA NIMEWEKA HIYO WEB SIYO KWA VILE NATAKA WATU WAJIUNGE BUT RATHER WATU WAJUE UTUMBO UNAOENDELEA HUKO MAJUU NA PIA WAEPUKANE NAO. THAT WAS MY INTENTION AND NOT THE OTHER WAY ROUND!!! KUHUSU FACIAL APPEARANCE YANGU; PLEASE DON'T JUDGE A BOOK BY ITS APPEARANCE ILA FIKIRIA KUHUSU LENGO LANGU ZURI KWA JF NA JAMII NZIMA YA TANZANIA.   
 15. minda

  minda JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  lakini kuna watu wamejiunga na kanisa hilo nao yasemekana ni watanzania wenzio!!
   
 16. minda

  minda JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  • je, kuna ukweli gani kuhusu uwepo wa kanisa la shetani hapa nchini kwa majina ya freemasons na illuminati?
  naomba kuwasilisha!!!
   
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,273
  Trophy Points: 280
  Hata King Mswati hajulikani.
  Ngoja nimwambie Minda aweke avatar ya OBAMA
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,396
  Likes Received: 22,273
  Trophy Points: 280
  Mpwa,
  hamjaelewana kidogo tu.
  jamaa ameleta hiyo thread kutu brain wash na sio kutuconvice tuhamie dini ya mashetani
   
 19. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu unawafahamu? basi tupe japo clue ya majina yao au shughuli wanazofanya
   
 20. minda

  minda JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
Loading...