Je ni haki chadema kushika dola | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni haki chadema kushika dola

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rafiki2010, Oct 7, 2010.

 1. r

  rafiki2010 Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si chama cha wananchi ni cha kwa ajili ya mataba ya makabila ya watu fulani ,, ni jambo la wazi kuwa hata majina ya wabumbe wao wa viti maalum waliowapendekeza awamu hii ni watu kutoka kaskazini ya moshi na arusha ila uchaguzi uliofanyika ndani ya chama umewatengua na kuwapakipaumbele watu wanao wahitaji kikubwa ch akuduwaza kama sio kushangaza mpaka sasa hawajawatangaza watu viongozi waliochaguliwa na wanachama wao hii inaonyesha wazi kuwa matokeo wameyabatilisha na kuna watu wao wanaowahitaji kushika nyazifa.. hiii sii democrasia ya kweli ndani ya chama kidogo kama chadema je swali ni kwamba wataweza vipi kuongoza nchi kubwa kama tanzania yenye kuhitaji umakini wa kutosha ilikufanikisha malendeleo ya watanzania iwapo wanaonyesha dhahiri kushindwa kuimalisha democrasia ndani ya chama chao huu si ndio mwanzo wa kuleta ukabila ndani ya nchi na kuifanya nchi iwe kwa ajili ya manufaa ya watu wachache ,,

  KUWA MAKINI HESHIMU KURA YAKO KWA MANUFAA YA TAIFA LETU KWA UJEMLA
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwa kuandika takataka hizi hapa unadhani na wewe ni great thinker?
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  utapost majukwaa yote leo .. mwishowe utafungiwa na utaanza kulia lia kaa kitoto kilichopata tohara leo
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ngoja niwaamshe mods saa hii.....this is too much
   
Loading...