Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

''Cute’s good. But cute only lasts for so long, and then it's, Who are you as a person? That's the advice I would give to women: Don't look at the bankbook or the title. Look at the heart. Look at...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana katika kipindi cha jahazi kinachorushwa na redio clouds, Jamaa huyu kwa kusigina taaluma yake ya uandishi habari aliamua kutoa hukumu kwa watuhumiwa wa mauaji ya kijana Fundikira. Ndiyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jamani kunamatangazo yananikera sana kwani watoto wangu na wamajirani yamewaharibu kweli kweli lakwanza ni hili la zain linalosema weweeeeeee uhuru wa kuongea jamaa ananyuka anaanza kukata mauno...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tuna matatizo makubwa ktk Elimu na huduma za afya. Ktk ubora wa matokeo ya mitihani ya shule za sekondari, Top ten ni shule za binafsi. Huko ndo wanakosoma watoto wa wanasiasa wetu. Wanaitwa ktk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MABONDIA wawili Karim Matumla na Omari Kimweri waliotoroka mwaka 2006 baada ya michuano ya Jumuiya ya Madola wameukana Utanzania kwa kukubali kuchukuwa uraia wa Australia. Sheria za Tanzania...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
KUNA mjadala ulianzishwa katika moja ya mitandao ambamo Watanzania kokote walipo ulimwenguni hukutana kubadilishana mawazo(I THINK NI HAPA JAMIIFORUMS). Mjadala wenyewe ulianzishwa na mchangiaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kueleweshwa hapa. Voda wameanzisha huu utaribu wa kuchangia maafa kwa kutumia sms. Nina imani kuwa fedha hizo zitawafikia walengwa kupunguza makali ya maisha wanayoipata kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Fungua hii document ujionee mwenyewe mambo ya kule kwetu mtwara.. Burudani.....
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwenu Tbc Hili nimeona nionglee waazi;embu tumwache babu wa watu apumzike kwa amani jamani,......mwanzoni mlianza vyema "sikila sikio la mkuu"" mkawa mnatoa picha ya nyerere na hotuba yake hivi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwanini Benki za tanzania haziaminiki? Mimi ni mteja wa hiyo Tanzanite account ya CRDB, na mpaka ninavyoandika sasa ni mwaka sijapokea kadi yangu. Nilienda pale Tower Branch kujaza fomu na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama yale yaliyowahi kutokea kwetu! What a tragedy!!!!!!!!!! Doctors In Peru Amputate Wrong Foot Of Patient LIMA, Peru - Doctors in Peru mistakenly amputated the wrong foot of an 86-year-old...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani imagine serikali imewaamini kawatengea na fedha kadhaa kuweza kusaidia swala la usafirishaji wanadiriki kutanga"sumatra wakishirikiana na mashoka a mart" wameanza zoezi la kukamata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
YAWEZEKANA TUKAKALISHWA KAMA MISUKULE KUNGNGANIA KUKIMBIZANA NA MAFISADI,..LEO HII NI VYEMA TUKAJUA NIN CHA KUFANYA TUWEZE KUTOKA KIHAALALI KWA NGUVU ZA MWENYEZI MUNGU UNAITAJI KUWA NA SLOGAN YA...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Dear , Please read very carefully it works! Nowadays each one of us carry Mobile devices and always fear that it may be stolen. Each mobile carries a unique IMEI i.e. International Mobile...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Wana JF tusaidiane hili! je tatizo liko wapi? Ina maana wan ndoa tunakuwa tumezoeana sana?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Yes he is. Look at his new video "On to the next one". He shows like 3 symbols that say he is. He could be just doing it for publicity, but he isn't confronting the rumors and if it looks like a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wanajamii nani mwenye taarifa ya ijumaa kwani ilipita kimya bila kuonana na bila taarifa kama kamchango chetu kiliwakilishwa pls pearl tupe majibu au yeyeto mwenye taarifa
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Impact of job change!! A taxi passenger tapped the driver on the shoulder to ask him a question. The driver screamed, lost control of the car, nearly hit a bus, went up on the footpath, and...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku moja nilipokuwa nikifungua katika mtandao mmoja unaoitwa Wavuti na kukuta maada moja iliyokuwa ikielezea na kufananisha sisi watu wafrika hatujawahi kuvumbua (invention) ya kitu chochote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mtngazaji wa star tv na redio free Africa ameenda wapi simsikii kabisa kwa sasa, Yeyote ambae anafahamu alipo naomba anijulishe
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom