Hivi Jaji Rugazia alipata ajali akiendesha gari gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Jaji Rugazia alipata ajali akiendesha gari gani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mawenzi, Oct 9, 2010.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  :alien:Hodi wanaJF! Jana tulijuzana kuwa Jaji Rugazia alipata ajali akiwa na Jaji mwenzie mke wa Makongoro Nyerere. Je alikuwa anaendensha gari la kijaji (J--) au la kwake binafsi? Kuna tetesi kuwa alikuwa anaendesha gari la u-Jaji. Naomba nijuzwe na mwenye kujua. Nauliza kwa sababu kuendesha gari la serkali saa zile ni ukiukwaji wa kanuni.
   
Loading...