Hivi rais wetu ansoma vitabu gani?

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,872
11,248
Wakuu,

Nimekua nikijiuliza kwa muda sasa ni vitabu gani rais wangu anavisoma...

sababu kubwa ya kuuliza haya ni jinsi anavyoapproach matatizo ya wananchi na jinsi anavyoelezea mafanikio ya nchi yake na kazi yake. mara nyingi naona kama, either anaweka vitu ambavyo havina marejeo ili kuweza kutathmini utendaji

Kibaya zaidi, simsikii kabisa akirejea historia kuu yataifa letu,

je, anasoma vitabu vya uchumi? utamaduni? riwaya? UONGOZI? historia au nini

NIJUAVYO MIMI, KIONGOZI BORA NI MTU ANAYEPENDA KUJIENDELEZA.... UNFORTUNATELY, SILIONI HILO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom