Nimetafakari na kuona m/ke ni muhimu kwa m/me! japo nifikiriapo juu ya uchaguzi nnakwazika sana,
kwanza ni wengi wazuri,wastani, wafupi kwa wembamba yaani wote wananivuta,
Japo hawana tofauti...
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hilda Gondwe anadaiwa kuomba auziwe kwa Sh6 milioni gari la serikali aina ya Toyota Landcruiser VX lililonunuliwa miaka mitatu iliyopita kwa Sh96 milioni...
US Church set to ordain lesbian bishop
By Robert Pigott
Religious affairs correspondent, BBC News
Mary Glasspool has been with her partner since 1988
The Episcopal Church in the US is...
Wana JF wenzangu naomba ushauri kuhusu miji hii MWANZA,DODOMA,ARUSHA
Ushauri huu uzingatie maisha kiujumla i.e gharama za maisha,huduma(maji/umeme/barabara) msongamano na upatikanaji wa kazi na...
www.AIRTANZANIA.com
Yaani tangu nianzee kupanda hii ndege ya atc kila nikifungua hii web nakutanan na
under construction under construction kweli awajui umuhimu wa website miaka nenda
rusi...
Jamani kwa wale ambao ni wapenzi wa kupita huu mtaa ili kukwepa foleni kuweni waangalifu mana leo hii rafiki yangu kapita ule mtaa akakuta magari yameshona so since ile njia ni no entry kutokea...
Nakutaka radhi Baba_Enock, hii post yako inmeipenda na nimeinyofoa kule kwa dada(MTUCTA) aliyehongwa gari na boss wake!
Wadau naomba tuijadili separatelymake foleni za magari kweli zimezidi...
Habari za kuaminika ni kuwa shirika la ndege ATC limeshindwa kufanya safari zake kutokea Dar kwenda Kigoma tangu tarehe 10 May 2010.
Kwa mujibu wa mtu mmoja wa karibu aliyetakiwa kusafiri na...
Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zinasema kuwa baada ya kupokea...
Baada ya kauli ya Mr Tim clarke kuwa hawajaona maendeleo yoyote kwa wakulima kwa kipindi cha miaka 20 iliyopita. Sirikali imeamka usingizini na kuwa mbogo kuanza kumuandama Mr Tim Clarke...
Wadau, kuna habari kuwa serikali mpya ya uingereza imeamua kujipunguzia mishahara kwa 5% ili kupunguza bajeti ya madeni. Hivi hapa bongo kama mawaziri na watumishi wa serikali na wabunge...
Katika hotuba yake ya kwanza bungeni kwenye hitimisho alisema "Najua wahisani wetu na wawekezaji, ndani na nje .... wakitaka kujiridhisha iwapo nitavijaza viatu alivyoniachia Rais wetu mpendwa wa...
Kutakuwa na mkutano katikati ya mwezi huu huko Makao makuu ya ITU Nchini Uswizi , Moja ya mada itakayojadiliwa kwenye kikao hicho Ni Masuala ya Mtoto na Mtandao Usalama Wake , Hii haiwezi kupita...
Every so often, many NGOs are on the look out for invitation for proposals from Donors who are keen on funding programmes that fall in line with their missions in Tanzania, or their lack of it...
Kwa muda mrefu tanzania tumekuwa kama wakiwa,tuna watawala hatuna viongozi. Hawasikii hawaambiliki.nasikia viongozi wa dini wana kikao na serikali sasa nawaomba wakae na rais [najua hawamwogopi...
Habari ya asbh wana JF. Binafsi naona thread za Bifu zinatupotezea muda sana. Unajua watu wengine hatuna interest za TID wala Hashim na U super star wao its none of our business, sasa watu...
TUKIO la dereva teksi kufia kwenye Kituo cha Polisi cha Chang'ombe jijini Dar es Salaam limeingia sura mpya baada ya taarifa iliyoko kwenye kibali cha mazishi kilichotolewa na Idara ya Msajili wa...
Majeneza ya watoto watatu Noel, Rose na Anthony Thadeo Kihanda yakionekana katika ibada ya mazishi nyumbani kwao eneo la Kariwa kata ya Longuo B Manispaa Moshi mkoani Kilimanjaro jana.(Picha na...