Makamba kuunguruma Igunga Jumapili Hii ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba kuunguruma Igunga Jumapili Hii !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zyansiku, May 14, 2010.

 1. Z

  Zyansiku Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zinasema kuwa baada ya kupokea maandamano hayo, Mh Rajab Makamba pia atamuapisha Rostam Aziz kuwa kamanda wa vijana wilaya ya Igunga kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, shughuli za kumuapisha R.A ilikuwa zifanyike miezi karibu miwili iliyopita lakini ziliahirishwa kutokana na R.A kuwa nje ya nchi kikazi.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Maskini watu Igungaa!
   
 3. K

  Kabonde JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 421
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Hana cha kufanya hapo kafikia mwisho wa kufikiri
   
 4. D

  Diwani Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thats Life Bro/Madame,
  Ukisema wa nini wenzio wanafanya matambiko ili wampate, so kula ugali na maharage ukalale
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Makamba=RA:target:
   
 6. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,836
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Igunga! Igunga! Msiyasikilize yanayosemwa bungeni kuhusu yeye...........(Maneno ya Waziri Mkuu) sasa ni zamu ya Yusufu! Yetu macho na masikio
   
 7. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Maskini Mbayuwayu wa Igunga, mnalazimishwa na mwenye shamba kumshnagilia tetere???????????? Sisi ndege wengine tunaona tunasalitiwa
   
Loading...