Hivi nitapata wapi diploma ya sociology,nina ndugu yangu hana kigezo cha kusoma degree kwa maana ya matokeo yake si mazuri. Chuo kiwe cha hapa hapa Tanzania.
Ndugu zangu nina shida kidogo. Mimi nina ndugu yangu anatafuta pa kusoma diploma ya sociology hapa Tz,hivi chuo gani kina kozi hiyo ngazi ya diploma? Tayari yupo kwenye ajira na sharti la ajira...
Priest and Nobel Peace Prize candidate, 85, admits child abuse 40 years ago
Last updated at 6:57 PM on 29th December 2010
Francois Houtart, Belgian sociologist and Catholic priest who...
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
Wanajf mbeya tunaomba updates.
Nilishitushwa sana na kauli ya waziri wa sheria na katiba celina kombani
aliyoitoa wiki chache zilizopita kuhusu msimamo wake juu ya madai ya
katiba mpya sababu kubwa ikiwa,eti katiba iliyopo...
Polisi wamshushia kipigo mwandishi
Na Mwandishi wetu
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Tanzania Daima wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Ali Lityawi, juzi alipata kipigo kikali kutoka kwa...
Nasikiliza radio sasa eti Eton John na partner wake wameadopt mtoto aliyezaliwa siku ya xmas na mama mmoja huko California.
Just waiting to see and hear the kind of raising that child will get...
A court in Saudi Arabia has agreed to accept a divorce that was sent by text message, a newspaper in the Gulf Kingdom reported over the weekend. The woman from the western town of Madina asked...
Baada ya kulipua nairobi habari zaidi zinasema jamaa wametangaza nchi zinzofwatia ikiwemo tanzania......,katika hili uwanja wa ndege wa dar umeongezewa ulinzi wa ajabu ambao kwa wengine ni ker...
Kijiji chadai hakina maji tangu uhuru
Na Raphael Okello, Rorya
WAKAZI wa Kijiji cha Panyakoo, Kata ya Goribe wilayani Rorya mkoani Mara wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwapatia...
Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
Wanajf mbeya tunaomba updates.
Kama nimewakweza kwa kutuma thread mpya na hamkuipenda mamods mtanisamehe! ila nataka kujua kitu gani nimefanya wrong kutetea JF ktk kitu nilichoona very unethical! naomba sababu ya kuifuta thread...
ndugu zangu watz, sisi hatuna sababu yoyote ya kushindwa kuendelea kama China, Japan, Malyasia n.k nchi ambazo back to 50s tulikuwa tunalingana nao_kilichotufikisha hapa ni mfumo duni Utawala...
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Khamis Mgeja, amesema hana nia ya kufanya malumbano na Anne Killango Malecela kwa kuwa halingani naye na anamheshimu sana .
Sitaki kufanya...
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi huko na humu JF. Kuhusu ushirikina...ukihusishwa na wataalam wa jadi..hata utabiri. Vizuri kufaham maana halisi ya ushirikina...kisha ifuatie kuleta uzushi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.