Serikali Mpya nchini Uingereza Yajipunguzia Mishahara

Serikali Mpya nchini Uingereza Yajipunguzia Mishahara

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
672
Reaction score
83
Wadau, kuna habari kuwa serikali mpya ya uingereza imeamua kujipunguzia mishahara kwa 5% ili kupunguza bajeti ya madeni. Hivi hapa bongo kama mawaziri na watumishi wa serikali na wabunge wakipunguziwa mshahara na malulpulupu kwa 10% ule mshahara ambao TUCTA wanataka (Shs 315,000, kima cha chini) hauwezi kweli kulipika.
 
Ndugu yangu natamani malaika wa mbinguni angeshuka hapa bongo akawafungulia hawa vibosile mioyo na akili zao wakaweza kuwa na huruma kwa wanyonge wanaoteseka wakati wao wanatanua kwa kila jambo. Nasema hivyo kwa sababu swala la viongozi kupunguza mishahara yao kwa Tanzania ni ndoto. Hata kama Pinda akipunguza wa kwake wenzake hatakuwa tayari kumuunga mkono. Ubinafsi/umimi umetutawala sana. Kaza butu tia mzigo kama mmachinga tusitegemee serikali tena kwani wameshagoma kutuona kabisa.:angry:
 
Back
Top Bottom