Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

lwe ni shuleni, kazini, kwenye mahusiano na shughuli mbalimbali, je kuna haja gani ya kudanganya umri? Hivi aibu yako utaiweka wapi umri wako halisi ukibainika?
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Mick akiwa hospitali baada ya ajali mbaya hivi karibuni Wednesday, April 14, 2010 9:49 PM Mkulima wa nchini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
MKUTANO wa 19 wa Bunge unaanza leo (13/4/2010) mjini Dodoma, huku Rais Jakaya Kikwete akiwa ameomba Muswada wa Sheria ya Madini upitishwe kwenye mkutano huo pekee badala ya taratibu za kawaida...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam waheshimiwa, SAKATA la matumizi yenye kutia shaka ya fungu la fedha lililopitishwa na Bunge kwa ajili ya kuhami uchumi, maarufu kama stimulus package , sasa limemrudia Gavana wa Benki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Yawezekana tuko wengi tunafikiria lini tanzania itaondokana na umaskini ufisadi na matatizo mengi tu ya dunia hii...kwa hakika wapo wasomi waliotoa mawazo yao leo hii wakiabika akuna linaloendelea...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td>...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JK agoma kusaini sheria mpya *NI YA KAMPUNI ZA SIMU KUJISAJILI SOKO LA HISA DAR Ramadhan Semtawa BAADA ya kusaini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
A former Chinese police chief was sentenced to death today, in a gangland corruption case that has riveted the country, state media reported. The case of Wen Qiang has been the biggest in a series...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi, Mathias Chikawe akiwa amembeba mtoto Mawazo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minne alipotembelea kijiji cha Mbondo wilayani Nachgingwea hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MKAZI wa Makumbusho, Gharibu Ayubu (35) anashikiliwa kituo cha polisi Kinondoni jijini hapa kwa kumkanyaga kichwani kwa gari lake hadi kufa, mtoto wake, Ayubu Gharibu aliyekuwa na mwaka mmoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wenye makosa madogo madogo watatumikia kifungo cha nje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani, niliwahi kusikia kwamba miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na mfumo wa kulipa nauli kulingana na umbali aliosafiri abiria hapa bongo. hivi hili lina ukweli wowote? na kama ni la ukweli, kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF, Nataka kuandika kitabu kuhusiana na Bendi za muziki za zamani kidogo. Kitabu chenyewe kitakuwa na mkusanyiko wa historia fupi ya Bendi hizo, wanamuziki wake, Makao makuu yao, Nyimbo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi si miongoni mwa watu ambao nimepata kutokukubaliana na tangazo lolote la HakiElimu! Hata hivyo, lazima nikiri wazi kwamba wadau wa Elimu Lindi wamenena, na sasa kazi kwenu HakiElimu kuifanyia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WADAU, NAOMBA NIULIZE, HIVI NI LINI AMBAPO JAMlI FORUMS ITAZINDULIWA RASMI? TULIAMBIWA NI MWEZI HUU WA NNE NA LEO MWEZI UNAKARIBIA KATIKATI LAKINI TAREHE BADO HAIJAWEKWA WAZI. TUNAOMBA UONGOZI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
The Heart of the Women.....They are Wonderful They smile when they want to scream. They sing when they want to cry. They cry when they are happy and laugh when they are nervous. They fight...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Watu 16 wamefukiwa na Kifusi walipokuwa wakitafuta dhahabu katika mgodi kwenye kata ya Kaseme wilayani Geita Mkoani Mwanza. Maiti wameopolewa na watu wanane wametambuliwa. Kamati ya Ulinzi na...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani mi sielewi labda mniambie kwani hii avatar ina tatizo gani.....unaujua ule msemo unaosema usione ukazani.....ndo naomba utumike hapa.....naomba pia niwaombe radhi wale wote waliokwazika na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Huwa napokea e-mails kama hizi ! UNITED NATIONS / WORLD BANK COMPENSATION UNIT. Attention: Beneficiary, How are you today? Hope all is well with you and family?, You may not...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
worked in a place where one of the customers left an item that I would value to be over $200 maybe as high as $500. The owner of the place found it and showed it to me after we closed. He said...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom