Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
Katika hotuba yake ya kwanza bungeni kwenye hitimisho alisema "Najua wahisani wetu na wawekezaji, ndani na nje .... wakitaka kujiridhisha iwapo nitavijaza viatu alivyoniachia Rais wetu mpendwa wa awamu ya tatu , Benjamin William Mkapa. Nitajitahidi ingawa ni vikubwa kwangu". Je, alikuwa anamaanisha hana uwezo? Je, tusimlaumu kwa haya yote? Au ndio maana ya Mkapa jasiri? Je ukubwa wa viatu ni uzuri au ubaya?