Iwapo ningempata kama gari....

Swahilian

JF-Expert Member
Apr 28, 2009
591
66
Nimetafakari na kuona m/ke ni muhimu kwa m/me! japo nifikiriapo juu ya uchaguzi nnakwazika sana,
kwanza ni wengi wazuri,wastani, wafupi kwa wembamba yaani wote wananivuta,
Japo hawana tofauti lakini kila mmoja na chaguo lake kwa uwezo wake, ni mfano wa magari yaundwayo kila siku ingawa wao hawana vipuri mbadala, ninawaza iwapo wangekuwa na vipuri, nikitamani hips naenda nunua naweka, au sura naweka nyingine, ukarimu basi nenda dukani nanunua, ingekuwa poa! lakini ndo hivyoo waliumbwa binaadamu.......... Tuvumiliane............
 
Pole sana ila nasikitika sana kama umeishaoa au olewa huna jinsi,
nadhani kabla hujaamua kuoa ulishachagua sana ukaona huyo ndo mzuri wako na hakuna mwingine wa kukubabaisha ndo maana ukaamua kuishi naye, sasa unaposema unaweza kutamani hipsi unataka uziweke hiyo ni hatari,
cha kufanya ushinde moyo wako usitawaliwe na tamaa kama unazo. ridhika na uliye naye na umone bora kuliko mwanamke yeyote uliyewahi kumuona.
 
Nimetafakari na kuona m/ke ni muhimu kwa m/me! japo nifikiriapo juu ya uchaguzi nnakwazika sana,
kwanza ni wengi wazuri,wastani, wafupi kwa wembamba yaani wote wananivuta,
Japo hawana tofauti lakini kila mmoja na chaguo lake kwa uwezo wake, ni mfano wa magari yaundwayo kila siku ingawa wao hawana vipuri mbadala, ninawaza iwapo wangekuwa na vipuri, nikitamani hips naenda nunua naweka, au sura naweka nyingine, ukarimu basi nenda dukani nanunua, ingekuwa poa! lakini ndo hivyoo waliumbwa binaadamu.......... Tuvumiliane............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom