Viongozi wa dini tusaidieni sasa

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Kwa muda mrefu tanzania tumekuwa kama wakiwa,tuna watawala hatuna viongozi. Hawasikii hawaambiliki.nasikia viongozi wa dini wana kikao na serikali sasa nawaomba wakae na rais [najua hawamwogopi ila yeye anawaogopa]atolee maelezo kwa kina amefanya nini kwa miaka minne yote.bidhaa zimepanda bei mara dufu,wizi mkubwa uliotokea serikalini matumizi mabaya ya madaka kwa watendaji wake, ubabe kuanzia na yeye, chama kupoteza dira mikononi mwake,viongozi kujiuzia mali ya uma kwa bei chee,safari zake za kwenda kutuzalilisha ughaibuni,wageni kushika uchumi wetu huku wakihamisha utajiriwetu,matumizi makubwa serikalini,kauli mbiu zisizofanyiwa utafiti,kutowajali wafanyakazi,ndege tuliyo mnunulia iko wapi? Chenchi ya rada tutaenda kuchukua lini? Waliosaini mikataba iliyolitia taifa hasara tuwafanye nini? Na hiyo hikataba imekuwa mama mkwe?kwa nini hivunjwi?mambo kibao anatakiwa kujibu.mashehe na maaskofu nawaamini tusaidieni katika hili,wan jf najua kuna mengi mnayo naombeni mchangie .asnteni
 
Back
Top Bottom