Mtaa wa Laibon ni Soo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtaa wa Laibon ni Soo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arsenal, May 14, 2010.

 1. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani kwa wale ambao ni wapenzi wa kupita huu mtaa ili kukwepa foleni kuweni waangalifu mana leo hii rafiki yangu kapita ule mtaa akakuta magari yameshona so since ile njia ni no entry kutokea barabara ya Ali Hassan Mwnyi akaamua kutengeza line ya pili akasogea mpk hatua kama moja tu kuingia Ali hassan mwinyi rd saa ngapi askari asimfate na kumwambia kwamba ana kosa la kutanua!! na adhabu yake ni wiki mbili jela!! basi uku na uku ubishi wapi!! geuza gari break ya kwanza Obey police station kosa kutanua no mjadala ni wiki mbili!! dah!! jamaa kanywea kete kazidiwa yupo angle akaamua kuongea kwa herufi kubwa police wako watatu mwanamke mmoja wakamtoa 70k jamani sio utani leo leo asubuhi akazunguka uhani akachukua ndinga yake kaenda job siku yote imeharibika!!!

  SWALI;

  Hii njia c no entry ukitokea Ali Hassan Mwinyi rd? so kwanini wanakataza two lanes? wakati hakuna gari linaloingia hii njia? zamani ilikuwa ivo yes but not now!!! .....Ma-trafiki tumieni akili basi this time ni rush hours ata wale wanaopita vichochoroni wanasaidia kupunguza mnyororo kwenye main rd mana kila mtu akipita main rd itakuwa balaa.

  kwa wale wasio ijua hii njia ni ile ya ubalozi wa marekani wa zamani karibu na stanbic bank ya pale Ali Hassan Mwinyi rd!!
   
 2. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  penye red huoni jamaa yako ana makosa?
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ile signpost inachanganya sana kama ile ya Tunisia kuingia Leaders toka AH Road.....technically kwa positioning yake inazuia watokao mjini ku right turn into Laibon na kuruhusu Left turning(from Mwenge) into Laibon na kwa hiyo jamaa alikosea...sasa zilitakiwa ziwe mbili for both entries ndio hapo angejustify kuwa ni one way duo lane kama Samora....lakini nadhani nia ilikuwa ni kuzuia both entries ila uelewa mdogo wa watendaji wetu......sadly hata maua ya barabarani hawajui type ya kupanda...on the same road wamepanda mimea amabyo iko so reach in foliage kiasi cha kuobstruct vision ya upande wa pili na hivo kuwa hatari kwa madereva...hasa ukitaka ku turn around shurti uchunguliechungukie
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Duh! pole zake, mi ndo huwa nachukuaga number zao za kazi........zile kwenye kofia au bega, badae unadeal nae sawasawa.......wakichukua 70k, ww baadae unatumia 200k anapelekwa masijala, full stop.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mhh! Polisi wanaweza kukufunga wiki mbili bila kesi? Amepigwa changa "rafiki yako"
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bongo inawezekana kabisa!
   
 7. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #7
  May 14, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  du nyie Traffic kuweni wasomi alaaa jeshi lipo kisasa nyie mnaleta za enzi hizo au hamuna magari nyie kuweni wastaarabu
   
 8. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  makofi tafadhali......safi sana kwani hao wengine walikuwa hawana haraka?
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  May 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Shavuni au?
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  May 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  Polisi wetu wanaowekwa barabarani ni wale waliofeli kidato cha nne.
  Uwezo wao wa kufikiria ni mdogo sana ndio maana wanavurunda kwa kiasi cha kutisha.
  Ngoja siku moja niwakomoe, ntapita laiboni na gari la pccb, niwaweke wenyewe selo kama wanadhani kule kuna bustani ya maua ridi.
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  May 14, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Maderava hebu acheni ujanjaujanja....wewe unaona wenzako waliopanga foleni ni mabwege sio!
   
 12. k

  kashwagala Senior Member

  #12
  May 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hovyooo! hasa ndo nini.Kaeni kwenye foleni,wote tukiwa na haraka tutafika?tubarabara twenyewe ndo hutu!
   
Loading...