Watanzania hii website under construction mpaka lini??

Watanzania hii website under construction mpaka lini??

sijafulia

Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
86
Reaction score
2
www.AIRTANZANIA.com

Yaani tangu nianzee kupanda hii ndege ya atc kila nikifungua hii web nakutanan na
under construction under construction kweli awajui umuhimu wa website miaka nenda
rusi wanashindwa kumlipa mtu hata milion 2 aifiki awawekee vitu vya maana kma
precission..precission wana nini jamani waweze kampuni ya serikali ya watzania tushindwe

jamani this company r they serious???
 
Back
Top Bottom