Magari ya Kuongwa na foleni Dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari ya Kuongwa na foleni Dar!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katikomile, May 12, 2010.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nakutaka radhi Baba_Enock, hii post yako inmeipenda na nimeinyofoa kule kwa dada(MTUCTA) aliyehongwa gari na boss wake!


  Wadau naomba tuijadili separatelymake foleni za magari kweli zimezidi mjini, ni kweli kwmba 40% ni magari ya kuhongwa????????????  Continue............................  Hayo mambo ya kawaida hapa Dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa SACCOS na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya Ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (Ma-Director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - Ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa


  Kwa Tanzania UKIMWI utaisha kwa NEEMA za MUNGU tu - Ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!

  Amani iwe kwenu
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hata wanaume nao pia wanahongwa! Tena na wanawake wakubwa kwao, na wake za watu@! Avatar yako kaka!
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Enheee!
   
 4. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimeiondoa kaka! naona watu wengi imewakera! Sorry kwa wote pia!
   
 5. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kila mla huliwa, hata wake wa ma-director nao wanaliwa na mwishoe wanahonga magari vi-serengeti boys!!!
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  teeehhh teeeeehhhhh simo:A S clock:
   
 7. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,887
  Trophy Points: 280
  JK alisema "ukitaka kula shurti uliwe" habari ndio hiyo
   
 8. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mimi simo!!!!!
   
 9. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni kweli.. Ila rekebisha pls NI KUHONGA (red)
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa kumbe ndo maana foleni kubwa dar..basi watakuwa watamu sana mpaka wanahongwa magari
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa taarifa yetu,most of the mens nowadayz wanaendesha magari ya kuhongwa,na kumbukeni kuwa kuna mabinti komandoz ambao wanakula walicho pika!!
   
 12. U

  Ujengelele JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2010
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 1,256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Familia nyingine zina magari sita. Baba na mama wana magari yao kila mtu la kwake watoto wanne au hata zaidi kila mtoto ana la kwake na yote mara nyingi yanaweza kuwepo barabara wakati mmoja badala ya kutumia gari moja kama familia.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ok, magari used,NUKTA, ambayo huko yalikotoka salvage value is less than the cost to disposing them. Ngozi nyeusi is in the state of remarkable self-choking self-destructive stupidity he he he..
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yeah ...

  Watanzania walio wengi (M/F) wanapima mafanikio kwa mambo matatu: Gari (Used), Nyumba (Mbagala), Duka (Kariakoo)! Mtanzania akishakuwa na hayo mambo matatu anajihesabu kuwa amefanikiwa kimaisha! Hili la Gari limekuwa kama uendawazimu! na ndio maana tume-shift our thinking kutoka kwenye "core values" za maisha na kutapatapa: be it politically, socially and economically

  - Ukitizama hali ya miundo mbinu (regardless unaishi sehemu gani ya Dar es Salaam), huwezi kufikiria kununua magari matatu kwa ajili ya (wewe, mkeo, na concubine). Personally, I would rather niwe na gari moja halafu nafanya kazi ya kuwaendesha hawa "wapenzi". Hainingii akilini kuona mume, mke, watoto, concubines, housegirl, serengeti boys, e.t.c wote wanaondoka na kila mtu gari lake asubuhi wanapotoka nyumbani!

  Anyways Mwalimu Nyerere alikwisha sema "Upumbavu ni Kipaji"
   
 15. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2010
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tunahitaji kufikiria upya suala la uagizaji magari yaliyokwishatumika (used cars especially from Japan). Aidha kuongeza kodi kubwa kwa magari hayo, au kuzuia kabisa kuaigiza magari ambayo yametengenezwa chini ya miaka mitatu iliyopita yaani 2007......
  Hii itasaidia, maana itafanya gharama za kununua magari kupanda, na watu wengi watatnunua tu pale inapobidi na si vinginevyo....... HUO NI USHAURI WANGU KWA KWELI;.... MAANA UKIANGALIA KWA SASA MTU AKIWA NA MILIONI TANO TU (5,000,000/=), ANAWEZA KUNUNUA GARI........
   
 16. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuhonga wana honga kweli, mimi mke wangu ana gari boss wake kuona hivyo ikabidi amuungie kwa gear nyingine kwanza alimwambia wewe ni mzuri nikupa gari tayari unalo mimi naona bora ni kujengee nyumba ya kwako,yeye alimjibu sawa ila ninaenda kumweleza mme wangu pia nita mweleza na mama ambae ni mkewe, jamaa alikasirika na kuanza vituko kwake, ili bidi nitoe mtaji aache kazi afanye biashara kuondoa usumbufu aliokuwa anaupata ktk kwa boss,hivyo jamaa wanahonga sana hawajali ni mke wa mtu wala nini,
   
 17. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ina maana Dar pekee ndio hongo za gari zipo?? Huko mikoani Vp?
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  mikoani hatuhongani
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mh wabongo Ngono zitatumaliza! watu kama wamelaaniwa. wanaiba pesa za shirika/serikalini wanahonga wanawake magari, utakuta demu kapangishiwa house nzima ya kilo 3 kwa mwezi na kanunuliwa gari. demu kazi kuzurura tu na gari hakuna production yoyote anayofanya zaidi ya kumridhisha mchizi. Sasa na yeye upande mwingine anakuwa na ka boifrend kake anako kahonga na mzunguko unazidi hahahahahaha
   
 20. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tanzania bila UKIMWI....
   
Loading...