Huduma ya Zimamoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huduma ya Zimamoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pcman, Jul 21, 2010.

 1. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  nilikuwa napenda kufahamu, Hivi huduma ya kuzimiwa moto inalipiwa?. Maana naona hata baadhi ya makampuni binafsi yana magari kwa ajili hiyo.
   
 2. P

  Pandisho New Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inalipiwa tena gharama kubwa pale inapotolewa na kampuni binafsi iwapo mhanga wa huo moto hakuwa mteja wao kabla ya tukio.Hata huduma ya kuokoa maisha na si mali hutolewa bure.
   
Loading...