Jana baada ya kutoka kwenye kuwajibika as usual nikafika zangu home kama kawaida umeme ukawa umekatika. Baada ya umeme kurudi basi nikakumbuka nilinunua gazeti la Mwananchi. Katika kupitia kurasa...
ASILIMIA nne hadi sita ya Watanzania ndio wanaodaiwa kujua kunawa mikono kabla na baada ya kula huku kundi kubwa likionekana kutokujali kabisa afya zao, ilielezwa.Kauli hiyo ilitolewa juzi na...
Kwa kile kinachooneka kuwa mwendelezo wa serikali kutowajali wananchi wake na kuwathamini wawekezaji, leo ni siku ya tatu wafanyakazi wa kampuni ya MeTL upande wa kitengo cha kuzalisha Maji na...
.."Hivi haya ma-migodi yanatusaidia nini katika hili? Maana hizi ndiyo raslimali zetu na kila siku zinachimbwa zinaisha na sisi hatuoni faida yoyote ile katika maisha yetu...tusihoji? Itafika siku...
Habari wana Jf, kuna hadithi za zamani ambazo hadi leo bado unaweza kumsimulia mtoto na akafurahi, hadithi kama za Abunuwasi, Panga la Shaba, Kaka Mbweha na Sungura, Bulicheka na nyingine nyingi...
World set to witness biggest full moon in two decades next week 2 hours ago by ?*Kev Hedges Listen to this article (by ReadSpeaker) Next weekend promises full moon gazers the biggest visible...
Print 02/05/2011 African Intel.
The son of the Crown Prince of Abu Dhabi, Sheikh Khalifa bin Zayed Al-Nahyan, is to buy a plot of land on the Zanzibar coast for $1.4 million. This coveted...
Wapendwa kuna jambo linanikera sana.Ni tabia ya wenye magari kuwasha 'FOG LIGHTS' Sijui wanaona inapendesheza gari kwani nyingi ziko kwa chini.Lakini sijui wanajua kwamba kwanza hapa DAR hakuna...
The Tanzanian tour operators have obtained the monopoly for tourist activities in the Kilimanjaro region.
The Tanzanian ministry for tourism, via the intermediary of the Tanzania Tour Operators...
juzi juzi pinda katuibia eti ina muhuma sana wananchi kuvunjiwa
nyumba wakati ukweli ni kwamba meya wa ilala JERRY kwa kushirikiana
na mafisadi wa outdoor walikwenda kushitaki wa waziri mkuu hayo...
Kuna hearing ktk Congress in USA, ambayo inaquestion Muslim Community. Ktk mpango huu kuna mpango maalum wakufanya Wamarekani kufear na Uislam, kuongeza chuki na Uislamu.
Je hii ni Chuki ya...
The government might lose four factories worth over 10bn/-, including a cotton ginnery and a coffee processing plant, for failure to pay its debts to various stakeholders estimated at 1.5bn/-.
The...
MWENYEKITI wa Chama cha Wanawake Madaktari (Mewata), Dk. Marina Njelekela juzi alitunukiwa Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Dk. Njelekela...
Kipindi kifupi tu nimekuja kubaini hivyo, Nipale wenzetu wa Tanganyika wanapo sema sisi na Wzanzibar ni ndugu? Sasa tuangalie kweli sisi na Vichogo ni ndugu udugu huo umetunganisha wapi sisi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.