waziri mkuu Chenge Andrew
Waziri wa elimu ya juu,SANGA MB wa Njombe
Waziri wa maadili,AESH,Mb wa sumbawanga,WZR WIZARA ya kudhibiti rushwa,Lowassa Edward,
Waziri wa Fedha Aziz Rostam,Waziri...
Nchini mwetu pamoja na viongozi wakuu kula kiapo cha kuilinda katiba kabla ya kuingia madarakani, mara nyingi wamekuwa wakitenda kinyume na katiba hiyo. Mfano mzuri ni wa rais wa awamu ya tatu...
Wadau
Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.
Inasemekana kufuatia...
Katika taarifa ya habari ya saa 10 jioni na Harakati tumepata taarifa kuwa binti wa mika 12 amekutwa juu ya meli katika Bahari ya Hindi huko Dar. Meli hiyo ni ile ya Wataiwan ambayo ilikamatwa kwa...
wana jf nataka wote tunufaike na hil,. Kwa wale wanaopajua feza boyz sec n high xul. Tegeta hapa, kutakua na nyama ya kumwaga eid ya kesho, njo ujipatie kwa uwezo wako..buuure kabisa.
Mimi nasema sikubaliani kabisaaaaaaaaaaaaa! Yaaaaaaaani yaani eti kuna hawa jamaa wanaowaosha na kuwasugua wake zetu miguu na kucha. Kama wao wanaoshwa na kusuguliwa miguu kwa nini na ninyi akina...
Aslaamu alaykum wanaJF.
Salaamu za kher kwa wanaJF wote katika kusherekea sikuku ya muhmu ya EID AL ADHA kwa Waislaam wote duniani Hapo kesho .
Ikiwa ni ishara ya kumalizia kwa ibaada kubwa Hija...
Nimepima kauli za Spika mpya Mheshimiwa Anne Makinda na kugundua silaha anayoitegemea kuzima mijadala bungeni ni kifungu cha 90 (13) ambacho kinasema kauli ya spika ni ya mwisho anapoamua kufunga...
Ni bunju eneo vikawe unakata kona pale baobab sekondari umbali wa kama km2 kutoka barabara ya bagamoyo. Kuna heka nne na nusu kila heka moja ni sh 6000000/- zipo karibu na barabara. Viwanja: 40x20...
umeshaenda kwenye ofisi za watu ukamkuta secretary...ukamwambia dada samahani naweza kuonana NA boss wako......atakuuliza una-appointment nae...utajibu hapana....atauliza jina lako utamwambia...
Jamani wanaotengeneza matangazo ya biashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hali zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana au watoto.
Tafiti binafsi: 98% ya watu ninaokutana nao na kuzungumza nao au wakiwa wanazungumza habari za siasa wanaeleza kukerwa na CCM na kutomtaka JK. Nyumbani, ofisini, chuoni, hospitalini, hotelini...
WANA JF HABARI ZA MCHANA.
JAMANI NAULIZA HIVI NI MAKAMPUNI GANI TOFAUTI NA UN AMBAYO YANATOA NAFASI ZA WATU KUJITOLEA ILI KUPATA UZOEFU? je pia kuna mabenki au taasisi za kifedha zina hizo...
Wakuu nimetafuta wapi ile jukwaa la kuomba chochote nimekosa kwa hiyo mtaniwia radhi kutumia jukwaa hili kwa kuomba msaada.
Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo.
Poor Dad,Rich...
kuna thread moja nilisoma humu JF kwamba muheshimiwa mbunge mteule joseph "SUGU" alihojiwa na waandishi wa habari na kuulizwa sasa makazi yake yatakuwa DAR au mbeya?
akajibu kuwa yatakuwa Mbeya...