Msaada tafadhalini


Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Messages
3,150
Likes
3,114
Points
280
Akili Unazo!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2009
3,150 3,114 280
Wakuu nimetafuta wapi ile jukwaa la kuomba chochote nimekosa kwa hiyo mtaniwia radhi kutumia jukwaa hili kwa kuomba msaada.

Naomba mnisaidie kupata nakala za vitabu vifuatavyo.


  1. Poor Dad,Rich Dad.
  2. Cashflow Quadrant by Robert T Kiyosaki

Asanteni.
 
L

len

Senior Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
100
Likes
2
Points
15
L

len

Senior Member
Joined Nov 9, 2010
100 2 15
Waweza kuvipata for free kwenye internet. Just do a google search and you have them for free!
 
Ikimita

Ikimita

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2010
Messages
302
Likes
5
Points
35
Ikimita

Ikimita

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2010
302 5 35
Nenda Dar es salaam Printers pale Jamhuri vimejaa tele halafu bei siyo mbaya sana.
 

Forum statistics

Threads 1,235,612
Members 474,678
Posts 29,228,660