Jamii Forums ikiwa ni bunge

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,787
2,000
Kama jamii forums ni bunge, je nani atakuwa spika, makamu wa spika, waziri mkuu na baraza la mawaziri kwa ujumla litakuwaje?
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
62,503
2,000
Haya sasa ni mawazo finyu yaliyokosa uhalisia ndani yake.
Kaka umeamkia upande gani leo?
Maana hii hoja uliyokuja nayo leo inaonyesha kuwa jana ulinyimwa mambo na shemeji, kile kibaridi kilichosababishwa na mvua kikakuishia wewe
 

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
1,250
unauliza nani atakuwa supika? si tutagombea, labda uulize nani atachauliwa kuwa supika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom