*** eid mubarak ***

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Aslaamu alaykum wanaJF.
Salaamu za kher kwa wanaJF wote katika kusherekea sikuku ya muhmu ya EID AL ADHA kwa Waislaam wote duniani Hapo kesho .
Ikiwa ni ishara ya kumalizia kwa ibaada kubwa Hija na nguzo ya mwisho ya Uislaamu. Ambayo hufanyika katika mji mtakatifu wa Macca. Ishallah tuwe wenyekusherekea kwa aman na utulivu.
 
Aslaamu alaykum wanaJF.
Salaamu za kher kwa wanaJF wote katika kusherekea sikuku ya muhmu ya EID AL ADHA kwa Waislaam wote duniani Hapo kesho .
Ikiwa ni ishara ya kumalika kwa ibaada kubwa ya Hijja na nguzo ya mwisho ya Uislaamu. Ambayo hufanyika katika mji mtakatifu wa Macca. Ishallah tuwe wenyekusherekea kwa aman na utulivu.
 
Nasikia huwa wanaenda kumpiga shetani mawe huko makka!
 
Tunamuomba Allah azikubali amali zetu, azikubali funga zetu, azikubali sala zetu, atuzidishie imani na mapenzi ya dini yetu, atusamehe makosa yetu tuyajuwayo na tusiyoyajuwa.

Tunamuomba Allah awape nusra waislam popote duniani, awape nusra waislam wadhaliliwao, wadhulimiwao na wateswao. awape wao ushindi na sisi kwa jumla.Ushindi utakaowatia watu katika dini yake makundi kwa makundi.

Tunamuomba Allah atuunganishe na sio tutengane, atupe mapenzi baina yetu na sio tuchukiane na atuepushe, atuepushe na unafiki na wanafiki pia.

Yaa Rabb tia kwenye nyoyo zetu imani iliyo ya kweli ifanane na vitendo vyetu na iyowane na fikra zetu.

Yaa Rabb twakuomba utuongoze katika njia iliyonyooka, njia ya wale uliyowaneemesha na sio ya wale uliyowaghadhibikia au ya waliyopotea.

Tunakuomba Yaa Rabb utujaaliye uwezo wa kufanya uliyotuamrisha na kuyawacha uliyotukataza, tujaaliye tuwe ni wenye kuamrishana mema na kukatazana mabaya.

Twakuomba Yaa Rabb uviongoe vizazi vyetu, uzipambe nyoyo zao kwa imani na namapenzi ya dini ya Kiislam, uwape ujuzi wa kupambanua baina ya haki na batil na uwaondoshee khofu dhidi ya maadui wa Uislam.

Yaa Allah wasemeh na warehemu wazazi wetu waliyo hai na waliyotushatutangulia.

Yaa Allah tukubalie dua zetu...AMIN

TUNAWATAKIA KILA LA KHERI

EID MUBAARAK
 
Nasikia huwa wanaenda kumpiga shetani mawe huko makka!

Nadhani walishampiga jana. Kinachonishangaza ni kwa nini huyu sheitwain hafi na hali hubondwa mawe kila mwaka!! Kwanini waasitumie silaha nyingine kummaliza?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom