Pata nyama ya bure eid..hi si ya kukosa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata nyama ya bure eid..hi si ya kukosa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jerryz, Nov 16, 2010.

 1. j

  jerryz Member

  #1
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf nataka wote tunufaike na hil,. Kwa wale wanaopajua feza boyz sec n high xul. Tegeta hapa, kutakua na nyama ya kumwaga eid ya kesho, njo ujipatie kwa uwezo wako..buuure kabisa.
   
 2. October

  October JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kiti moto itakuwepo? Kama ipo nijulishe tafadhali!!
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Tahadhari: Inayotolewa ni sadaka kwa wasio jiweza tu na sio kila Tom, Dick and Jerry.
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nyama ya bure unamaanisha nini?
  Manake kule kwetu nyama ya bure ni mpaka ngombe afe au agongwe na gari au treni au kujeruhiwa
   
 5. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo Njowepo ina maana ng'ombe wengine huliwa wakiwa hai?:doh:
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Mie nataka Whitemeat!!! ile inayoshauriwa na madaktari itumike badala ile ya kawaida ambayo ina madhara mwilini, kama itakuwepo fasta nakuja, kuna jamaa wana makusudi mabaya, yaani ukipita ubungo ukitokea mwng pale karibu na junction ya kwenda UDSM kunakuaga na kijiharufu kitamuuuuuu hadi watu kwenye foleni wanaanza kumwaga mate huku wengine wakijifanya kusema astakafu....
   
 7. j

  josh1988 New Member

  #7
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hauna lolote
  we mwenyewe unashindia maharage
  na kachumbari hiyo nyama uitoe wapi
   
 8. j

  josh1988 New Member

  #8
  Nov 17, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyama bongo!
  kitimoto argentina!!
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nasikia na mkulu wa nchi anagawa maandazi pale ikulu duh Eid mubarak to all JF members and tanzanians at large
   
Loading...