Dk slaa amechakachua barua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk slaa amechakachua barua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Makame, Nov 5, 2010.

 1. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau

  Kwa kuzingatia maelezo yaliyotolewa na Dk Slaa, NEC, TISS, CCM na wahusika wengine katika Uchaguzi, imebainika kuwa Dkt Wilbroad Slaa Amechakachua Barua.

  Inasemekana kufuatia uchakachuaji wa Dkt WPS wa barua hio, mgombea huyo akaendelea na uchakachuaji wake EU.

  Mtu yoyote mwenye ufahamu, wala hahitaji kuwa na PhD ataweza kutambua bayana kuwa hii Barua ni uchakachuaji wa Mhe Dkt WPS katika jitihada zake za kuipaka serikali na watumishi wake matope. Barua husika nime i attach.

  Nawasilisha.
   

  Attached Files:

 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Umejuaje imechakatuliwa?
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ukweli utabaki pale pale
   
 4. J

  Jafar JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  we makame barua hii tulikuwa nayo humu kabla ya Dr. kuipeleka hewani jana. Sema wewe ndio umeiona leo, angalia slides zilizopita.
   
 5. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi wewe ulikuwa wapi wakati tunajadili hizo barua za Mwanza humu ndani kabla hata ya kuanza upigaji kura?? --->na kilichofuata wakati wa kuhesabu kura ni kile kile kilichoandikwa ndani ya hizo barua (maagizo ya uchakachuaji). Nikipata mda nitakutafutia ile thread yenye hizo barua husika ili uone...

  Kwa kifupi JF tayari ilifanikiwa kuzinasa hizo barua mapema na anachoongea Dr.(Phd) Slaa sio kipya ni ukweli ulio wazi.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umejuaje amechakachua? Kwa hiyo wewe upo halmashauri ya Jiji la Mwanza?
   
 7. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kuna kila mianya ya kuamini kuwa barua hiyo imechakachuliwa...hauna mtiririko wa kimantiki wala kubeba uzito wa unyeti wa yaliyomo, na aliyeiandika ni layman ambaye hajui barua nyeti ya kiofisi inaandikwaje. Cha zaidi haina kumbukumbu namba. Kuchamba kwingi....!!!
   
 8. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Jafar, huyu makame anahitaji msaada wa kueleweshwa kwamba asiingie jamvini kichwa kichwa, kakurupuka huko na mada iliyokuwa huku siku nyingi. Kama ni maoni yangu anapaswa kuwa.........:tape:
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahaaa! umeinama au umesimama? coz, zote hizo ni positions za CCM kukuchakachua
   
 10. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  La MSINGI ni kwamba hii ndio Barua aliyoiwasilisha Dkt WPS kwa vyombo vya habari juzi akiituhumu TISS kwa uchakachuaji na kwamba NEC isiendelee kutangaza matokeo.

  Sasa

  1. JK anaapishwa Karimjee hivi sasa

  2. Presidential contestants wote wapo, kasoro Dkt WPS. Hii ni dhahiri kuwa Dkt WPS (PhD) hana moyo wa ushindani; kwani asiyekubali kushindwa, sio mshindani.

  3. Barua yoyote ya kiserikali ya SIRI lazima ipigwe mihuri ya SIRI na pia iwe na KUMB namba, vielelezo visivyokuwemo kwenye barua hii.

  4. Serikali huwa haijihusishi na kuchakachua matokeo, na ni hatari sana kwa afisa wa Serikali kuandika barua yenye maudhui husika; hivyo kimantiki haiwezekani.

  5. Mwisho kabisa, Serikali huwa haiandiki barua kwa LUGHA ya kichovu kama iliyomo kwenye barua hio.

  Wadau

  Nawasilisha.


  Aidha; Ndugu Lema, nakupongeza kwa ushindi mnono ulioupata dhidi ya mwanamama kule Arusha; HONGERA SANA.

  KWA SASA PIA TUSAHAU YA UCHAGUZI NA TUMPONGEZE JK kwa kupata kura za kuendeleza kumaliza ngwe yake Ikulu.
   
 11. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  mAKAME umetumwa????????????????????????/
   
 12. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wala sijatumwa Mallaba

  Najaribu kuwasilisha hoja kwa the other side of the coin

   
 13. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gwallo

  Mimi ni Mkongwe humu kwenye Jamvi, nimeamua kuvunja ukimya; wewe huna hata mwezi; Sasa kama kuna msaada wa kunielewesha; naukaribisha; nitaupokea.

   
 14. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33

  1. Serikali haichakachui matokeo, wanaochakachua ni watu ndani ya Serikali
  2. Usitarajie barua nyeti kama hiyo iwe na Reference number, kwa sababu maelekezo yaliyomo si moja ya kazi za Serikali. Na kama ingekwepo maana yake ni kuwa watu wangeweza kufatilia nakala ya barua hiyo kwenye masijara za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, kitu ambacho ni hatari kwa aliyeandika
  3. Kwa kuwa uchaguzi ni Suala la muda mfupi, wangeweza kufungua faili feki alafu wakakaa nalo nyumbani, ambapo reference ya barua ikawa ni hiyo tarehe inatosha
  4. Nembo ya Jiji la Mwanza ilikuwa ni muhimu kuitumia, ili kuweza kushinikiza utekelezaji wa maagizo tajwa, kwani mtendaji ambaye angekuwa na mashaka, angefuatilia kwa kupiga simu tu, na si kwa kuandika barua ingine, ukizingatia siku zilikuwa zimeisha.
  5. Mwisho ni vigumu sana kudhibitisha kuwa hii barua ilikuwa ni maagizo halali ya Serikali. Labda kama Chadema mkoa wa Mwanza wangeweka mtego wa kudhibitisha utekelezaji wake kabla ya kuandika barua ya Malalamiko
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  CRAP. Vipi na sahihi amechakachua?
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Slaa hakuchakachua ila alipewa hiyo barua na vijana wa mjini wanaokula ruzuku ya CHADEMA kwa kujiita usalama wa taifa
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wewe una uhakika gani kama amechakachua!au unaongerea ushabiki tu wa chama cha mapinduzi!tupe taarifa zaidi kama una uhakika amechakachua!!
   
 18. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hiyo haikuwa barua ya kiofisi, ni andiko liliandaliwa kihuni ili kubariki maovu ya sisiem, ykweli uko palepale, mmechakachua matokeo, full stop!
   
 19. J

  JIWE2 Senior Member

  #19
  Nov 6, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  1.Je unatarajia barua ya kifisadi itakuwa na mtiririko wa "barua nyeti za serekali"?
  2.Barua kama hiyo ya kifisadi haiwekwi kwenye faili kwa hiyo haihitaji kuwa na Kumbukumbu namba.
  3.Tuambie hiyo sahihi ni ya nani na kama unafikiri imeghushiwa tuthibitishie.
  4.Kwa taarifa yako ni kwamba barua hiyo haijatokana na UWT. Imekamatwa na kusambazwa na raia wema,ilikuwemo humu JF tangu wakati wa kampeni.
  5.Mbona RA, LOWASA,RIDHIWANI na KINANA(kny KIKWETE) wote wanajaribu kuonyesha kwamba hawakuwepo kwenye kikao hicho badala ya kusema kama barua hiyo ni fake?.
  6. Kwanini Kinana anasema CCM haitachukua hatua yoyote wakati barua hiyo mnayosema ni 'Fake'
  inawachafua? wewe unapata picha gani?
  7. Je historia ya Dr.Slaa inaonyesha kwamba ni mtu anayeweza kudanganyika kirahisi kama ambavyo unafikiria?
  8. Kumbuka kwamba mwanzoni hata masuala ya EPA na Richmond yalipoanikwa CCM akiwemo Mzee Sita
  walisema kuwa ni uzushi
  TAFAKARI.
   
 20. I

  Ibnabdillahi Member

  #20
  Nov 6, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana hoja Slaa
   
Loading...