Viwanja vingine comfirmed


GAGL

GAGL

Senior Member
Joined
Aug 5, 2010
Messages
199
Likes
65
Points
45
GAGL

GAGL

Senior Member
Joined Aug 5, 2010
199 65 45
Ni bunju eneo vikawe unakata kona pale baobab sekondari umbali wa kama km2 kutoka barabara ya bagamoyo. Kuna heka nne na nusu kila heka moja ni sh 6000000/- zipo karibu na barabara. Viwanja: 40x20 sh 1000000 kipo karibu na barabara pia. Vingine vipo boko, unashuka chama, umbali wa kama km 2 kutoka b/moyo road upande wa kushoto kama unaelekea bagamoyo. 30x28 sh 5000000 na 20x20 sh 3000000. Competition kubwa, wahi piga 0786046484
 

Forum statistics

Threads 1,235,862
Members 474,779
Posts 29,238,904