Jamani wanaotengeneza matangazo ya biashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hali zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana au watoto.
Jamani wanaotengeneza matangazo ya bihashara sikuhizi hawazingatii mahadili!! Kuna tangazo la ped za wanawake hazi zingatii maadili uwezikusikia ukiwa nawatu uaoheshimiana nao.
Mficha uchi hazai kaka. Nyie ndio mnaambiwa mzungumze na watoto wenu before its too late, mnadai ni aibu kuzungumza, mambo yakishaharibika mnaanza kulalamika. Na ya condom je? Hayakukeri?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.